Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,998
- 3,952
Kuna mdau kasema ili uweze kutumia iPhone lazima uwe vizuri kichwani,,sasa hii ni simu au ndege??..wengi wanaotumia iphone hapa bongo najua 65% percent hawazifurahii sema tu wanataka show off za ajabu ajabu..Wacha niendelee kukomaa na google pixel yangu..
Kama hatufuraiii wenzio huu mwaka wa 10 yan vipind 2 vya marais wa Tz sasa sijui unasemajena shida idevices unaziona kwa Tv au movies ndo mana unaweweseka