Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,998
- 3,952
Hahahaha poapoa mkuu.
Android master race
Safi
Hahahaha poapoa mkuu.
Android master race
mkuu kubishana na nyie ni tabu sana sababu hamjawahi kutumia android au hamfahamu similarities ya hivyo vitu, nitajaribu kukuelezea kiurefu zaidi kama utaelewa.Downloader zipo kibao tu achana na hiyo documents 6 , zipo I downloader, ipo my media yan zipo utitiri mpaka Facebook downloader na InstaSave
Jana nimeweka nyingine inaitwa video cache inashusha kila kitu. Acheni kupotosha watu wakuu
FYI , hizi downloader zinafanya pirating na kila mtu anazipiga vita lakini wachache wana succeed apple akiwa mmoja wapo wa tech giant ambae ameweza kufight na pirating and so far naona ni yeye tu anaweza hii kazi .. Developer wanachofanya ni kutafuta loopholes na ku impose risk kwa end user lakini legally contents nyingi haziruhusiwi kudownload mfano movies , softwares , music n.k
Mfano mzuri ni windows ambao wametoka kwenye windows 7 kwenda windows 8 then 10 , hii move inaonesha kabisa lengo ni kuweka softwares direct kwenye stores ili iwe ngumu kuzichukua free Kama ambavyo apple wamekuwa wakifanya.
Vitu vigine ni culture tu kujizoeza vitu vya wizi wizi sometimes unakuta software nzuri Kama deezer inauzwa hela ndogo tu dola moja au mbili lakini mtu halali usiku kujiunga ma bundle ya bure ili aiweke free , ukiangalia kwa jicho la pili huu ni ujinga, lets try to be responsible and legit
Mimi nafikiri ingekuwa vyema kama iPhone zingewezeshwa kwanza kukaa na charge walau siku tatu zaidi ya wengine kwanza.kabla ya kufikiri itawezekana ktk magari.Siyo kwamba hakuna magari ya umeme, kuna tesla, toyota anayo, nissan anayo tatizo ni kwamba je utaweza enda umbali gani kwa hiyo chaji iliyopo?
Maana kuchaji kunachukua muda so watu wanaboresha ili liweze kuchaji haraka na kwenda umbali mrefu hilo ndilo swala la msingi.
Kama magari ya umeme yapo toka zaman sana zaman sana
More processing power more battery drainage.Mimi nafikiri ingekuwa vyema kama iPhone zingewezeshwa kwanza kukaa na charge walau siku tatu zaidi ya wengine kwanza.kabla ya kufikiri itawezekana ktk magari.
mkuu kubishana na nyie ni tabu sana sababu hamjawahi kutumia android au hamfahamu similarities ya hivyo vitu, nitajaribu kukuelezea kiurefu zaidi kama utaelewa.
-Android hii ni kama bwalo au nyumba yenye vyumba vingi lakini unaweza kuingia kila chumba,
-ios hii ni kama jela au nyumba yenye vyumba vingi lakini huwezi kuingia kwenye kila chumba.
ukiwa na android utaweza kuhamisha mafile baina ya Apps moja na nyengine kwa urahisi, mfano naweza toa video toka folder la whatsapp kisha nikaihamisha hadi folder la alarm. ukiwa na ios hutaweza kuhamisha file baina ya folder la app.
hizo download manager unazosema zinadownload kwenye folder lake tu haziwezi kupeleka mafolder mengine hivyo tayari zinakuwa na limitation.
document 6 ni habari nyengine yenyewe ni file manager na download manager kwa pamoja, hizo app ulizotaja huwezi zifananisha na document 6, ukiwa na document 6 utadownload movie au youtube video kisha utaihamishia camera roll ili ikae. na wenzake kama kawaida. hizo app nyengine haziwezi.
compare na apps nyengine za ios document 6 ni more advanced sababu inabypass security za ios, ila compare na za android lets say ADM au es file explorer still nayo ni weak sababu inamiss essential features kama
-kuigawanya download vipande vipande ili idownload upesi upesi, hii ni kama idm, kwa android now pia zipo download manager zinafanya hivi, mfano adm, ucweb, videorder.
-kuipa process ya download special permission ili isibugudhiwe ukiclose app au ukifanya multitasking sana etc
na all in all tukirudi kwenye hoja, huwezi nunua iphone ukaacha android kwa kazi ya kudownload.
Hiyo ni Ram kaka
hujanionyesha kitu hapo, kwani video player ikiplay file inahamisha folder? si inacache tu ile video na kuiplay?Jamaa umekuwa ukiweka uongo Mtupu humu , kusema document 6 ndo yenye uwezo wa kuhamisha file ni uongo 200%. Hapa nimekuwekea snap ya vdeo cache ikihamisha file kutoka kwake kwenda I downloader na kwenda vlc , pia unaweza kuiweka kwenye camera rolls it’s easy , yan mkuu inaonekana hujatumia iphone kabisa , angalia snap hizi attached
hujanionyesha kitu hapo, kwani video player ikiplay file inahamisha folder? si inacache tu ile video na kuiplay?
kuhamisha file baina ya folder na folder mfano wako ni huu.
-download file na hio downloader yako
-hamisha hilo file eka kwenye folder la app nyengine.
na hio air drop si adhoc? si unatumia pc hapo au vifaa viwili? yaani utumie pc kujibu hoja ya kuhamisha file na file manager?
hapana mkuu hio ni feature kama share to ya android hapo huhamishi file bali unalipeleka likatumike huko, video player inaweza ikaplay file popote pale.Imeandika “ copy file to” maana yake file linatoka sehem moja kwenda nyingine , yan hapo naweza kuchukua file toka downloader moja kwenda nyingine au kupeleka Watsap na likakaa huko huko .
Mfano video nimeitoa hapo naipeleka vlc na linabaki huko huko bila shida , wewe tu hujajua (ningeweka video sema jf inasumbua ku upload)
yap huwezi cheza video zote na for the first time wamesupport HIEF na HEVC kwenye ios 11 kitu ambacho kipo os nyengine miaka na miaka. inabidi tu ujifunze kuishi na video converter ukiwa na kifaa cha iosIOS zinazingua sana kuna baadhi ya video hazichezi kabisa
hapana mkuu hio ni feature kama share to ya android hapo huhamishi file bali unalipeleka likatumike huko, video player inaweza ikaplay file popote pale.
kama unatumia pc huu mfano utaelewa vizuri,
1. vlc ipo local disk c kwenye program files ila inaplay file ambalo lipo my video, haulihamishi lile file lije prgram files bali unalitumia tu likiwa pale pale
2. una attach file kwenye email, file liko my documets unatumia outlook, lile file haliji kwenye outlook pale pale lilipo utalitumia,
3. unapoangalia video youtube yale mafile hayaingii folder la browser na kukaa mule bali utaangalia tu ukimaliza browser yako itabaki vile vile.
hapo app inakuwa ina generate url tu na app nyengine inatumia na sio kwamba hilo file lina hamishwa.
kuhamisha file ni kulifanya permanent liwe mkazi wa kule, ndio maana huoni ios watu wakieka fonts, launchers, kumodify apps etc.
soma hapa hicho ulichoonesha ni hiki
Sharing Files | Android Developers
yes still unatakiwa uelewe kwenye simu kuna utofauti wa ku share na manual kuhamisha, document 6 haifanyi share unacopy na kupaste folder nyengine,Hii mada nyingine tena umeleta, hii tutaongea baadae , huko juu ulisema document 6 ndo inaweza kuhamisha file kutoka app moja kwenda nyingine au kuli save kwenye media kitu ambacho app nyingine zinafanya pia , baada ya kukuwekea ushahidi unakuja na vitu vigine . Angalia tena maelezo yako Hapa
kama unajua hili,maelezo ya kwanza yalizingatia kitu gani???au gari hill linayarajiwa kuwa na parfomance ya baiskeri???More processing power more battery drainage.
Uliwahi soma article ya former CEO wa RIM inayosema how iphone killed blackberry?
Kuna mdau kasema ili uweze kutumia iPhone lazima uwe vizuri kichwani,,sasa hii ni simu au ndege??..wengi wanaotumia iphone hapa bongo najua 65% percent hawazifurahii sema tu wanataka show off za ajabu ajabu..Wacha niendelee kukomaa na google pixel yangu..
Simu ni kifaa kidogo sehemu ya kuweka battery na bado simu iwe ndogo ni kazi maana jinsi unavyotaka battery likae na chaji ndivyo linazidi kuwa kubwa so wanacheza na optimization ya processing.kama unajua hili,maelezo ya kwanza yalizingatia kitu gani???au gari hill linayarajiwa kuwa na parfomance ya baiskeri???
Wengi wanaongea kuhusu iphone ila hawajawahi kutumia yani no hearsay, au kama katumia kaitumia nusu saa na bado akiwa na mawazo akitegemea i function kama android.Kuna mdau kasema ili uweze kutumia iPhone lazima uwe vizuri kichwani,,sasa hii ni simu au ndege??..wengi wanaotumia iphone hapa bongo najua 65% percent hawazifurahii sema tu wanataka show off za ajabu ajabu..Wacha niendelee kukomaa na google pixel yangu..