Apple yashinikizwa kuifungua simu

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
ImageUploadedByJamiiForums1457684345.057694.jpg

Utawala nchini Marekani unakata rufaa kupinga uamuzi wa jaji wa kukosa kuamrisha kampuni ya Apple kuifungua simu ya mkononi katika kesi moja inayohusu madawa ya kelevya.

Wizara ya sheria inatumia sheria sawa na iliyotumia katika majaribio yake ya kwanza ya kuitaka Apple kuifungua simu ya mwanamgambo aliyetekeleza mauaji katika eneo la San Bernardino.

Serikali ilienda mahakamani baada ya jaji katika neo la Brooklyn kusema kuwa hakuwa na mamlaka ya kutoa amri kama hiyo.

Katika kesi hiyo, serikali ya Marekani inamtaka jaji kuamrisha Apple iifungue simu ya Jun Feng, ambaye alikiri kuhusika katika ulangusi wa madawa ya kulevya.

Inataka kutumia simu hiyo kuwanasa baadhi ya washirika wake.

Chanzo: BBC Swahili
CChanz
 
Aisee...iPhone wako vzr

FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.

Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
 
Na kuna habari nimesoma Kule Cnet Yule snowden alyetoa siri za US anasema kwamba FBI kusema kwamba hawawez kuifungua apple in upumbavu....hii nahis itkua inamaanisha kwamba uwezo wa kuifungua wanao Ila kuna kamchezo kachafu kanachezwa hpo kati
 
FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.

Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
ungesema wewe unaweza kuifungua hapo ningekuelewapo.
 
Mkuu upo vizuri... Hawa jamaa wanajua sana kucheza na akili za bongo lala, mchina anakuja juu sana sasa wanatafuta namna ya kuji-differentiate kwa styre za kitofauti kbs
 
ungesema wewe unaweza kuifungua hapo ningekuelewapo.
Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.

Lakini wajuzi wa FBI wana uwezo wa kuingia tu, huu ni mchezo unachezwa hapa wa kiini macho.
 
Iphone na blackberry simu za majasusi na wale mambo mengi hutaki fanya uchunguzi
 
Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.

Lakini wajuzi wa FBI wana uwezo wa kuingia tu, huu ni mchezo unachezwa hapa wa kiini macho.

Eti waipeleke kariakoo simu ya jamaa wakaone mchezo wa wabongo!, teh!
 
Interesting na hili jicho la tatu la GTs

Hata ile ya kuhusu shooting waligoma? lakini hiyo Kama vile iko connected na terrorism which is a national security concern.
Na pia madai ya Apple ni kuwa wakiruhusu serikali kwa sasa, hawataweza kuzuia wengine (in case somen' like this or similar to this happens again)
Na hivyo kupotezea trust ya customers wao.
 
Kwani si wamwambie huyo mwenye simu afungue.....au ilikuwaje.....?.....
 
Mbona mcfee alishasema wamruhusu aibomoe

McFee ni jasusu anayetafutwa na FBI kwa kumuua jirani yake mmarekani huko visiwa vya carribean; kutaka ujiko wa msamaha wa serikali ndio akatoa hiyo offer kwamba angeweza kuifungua hiyo simu!! It was a plea bargaining tactic!!
 
Ok,lakini mkuu unadhani wakimruhusu ataweza??
 
McFee ni jasusu anayetafutwa na FBI kwa kumuua jirani yake mmarekani huko visiwa vya carribean; kutaka ujiko wa msamaha wa serikali ndio akatoa hiyo offer kwamba angeweza kuifungua hiyo simu!! It was a plea bargaining tactic!!
kwa hizo tuhuma angeruhusiwa kugombea uraisi?
 
wakifungua bila ruhu ya mahakama ushahidi uliomo utakosa nguvu ila siyo kuwa hawawezi kuifungua.
 
Back
Top Bottom