kwa hizo tuhuma angeruhusiwa kugombea uraisi?
Huelewi unaandika nini!! Mc Fee anagombea urais wapi? Acha kukurupuka!!
kwa hizo tuhuma angeruhusiwa kugombea uraisi?
Ok,lakini mkuu unadhani wakimruhusu ataweza??
FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.
Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
Mkuu hakuna kamchezo. NSA,CIA Na FBI wakitaka habari ya mtu yeyote wanapata kutoka ktk taasisi yoyote.Na kuna habari nimesoma Kule Cnet Yule snowden alyetoa siri za US anasema kwamba FBI kusema kwamba hawawez kuifungua apple in upumbavu....hii nahis itkua inamaanisha kwamba uwezo wa kuifungua wanao Ila kuna kamchezo kachafu kanachezwa hpo kati
Kwani si wamwambie huyo mwenye simu afungue.....au ilikuwaje.....?.....
kumbe hujui....kabla ya kujibu uwe unajiupdate kwanza... mcfee ni mgombea uraisi kupitia chama kinaitwa libertarian.. ukishathibitisha naomba uje uniombe msamaha kwa kuniita mkurupukajiHuelewi unaandika nini!! Mc Fee anagombea urais wapi? Acha kukurupuka!!
Unavyoongea kwa mbwembwe over unachoongea unakijua... Security system za sasa hakuna brute-force inayoweza fungua achilia mbali kwa iphone hata kwa vifaa vingine.Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.
Lakini wajuzi wa FBI wana uwezo wa kuingia tu, huu ni mchezo unachezwa hapa wa kiini macho.
siku hizi zinatoka ki-ubwete zaidi kwa muda wa siku kumi ila ni gharama ni dola 180 kama unayo iliyofungwa ilete nikuonyeshe maajabuHakuna mtu anaeweza kuitoa hiyo zaidi ya Apple wenyewe mkuu kama ingelikuwa kuna uwezo huo pasinge kuwepo na mlundikano wa vifaa vya apple ambavo vina Apple ID. Kwa mana njia rahisi ingekuwa ukiflash ile simu na Apple ID ingekuwa inatoka.. Kwa mfano simu ukiflash ukimaliza inataka Apple ID ,,sasa Mkuu usibishe kitu ambacho hujui.. Au unamjuwa Nani anaeweza kutowa hiyo ID zaidi ya Apple.,?
Preta wenye simu waliuliwa.ziko Kesi nyingi kati ya Apple Co.Kwani si wamwambie huyo mwenye simu afungue.....au ilikuwaje.....?.....
mkuu, post yangu ni tofauti kabisa na syed rizwan farook ingawa zote zinahusu apple kufungua simu. hii post yangu inahusu inshu ya kufungua simu ya mfanyabiashara wa dawa za kulevya jun fengTatizo mleta mada Sexer hakuweka taarifa kamili au chimbuko la haya yote, najua lazima kuna wengi wanapita kimya bila kuelewa kulikoni.
Magaidi wawili bwana Syed Rizwan Farook na mkewe Tashfeen Malik, waliibuka siku moja na kuanza kumiminia umati wa watu risasi kwenye sherehe ya waajiriwa wenza kazini mwao. Kama kawaida yao, kisingizio au sababu ikiwa eti wameamrishwa na allah wao.
Walitega mabomu pia ambayo yaligoma kulipuka, bure maafa yangekua makubwa. Kwa uwoga, wakatoroka eneo la tukio na kurudi nyumbani ambako polisi waliwafuata huko na kuwashambulia, hatimaye waliuawa.
Baadaye polisi walifanya upekuzi na kupata simu kadhaa, ikiwemo hii ambayo ipo inajadiliwa kwenye huu uzi aina ya iPhone 5C wanadai wameshindwa kuifungua ili labda watapata taarifa muhimu humo. Tatizo lipo kwenye pass-code.
Samahani aisei, nimejichanganya.mkuu, post yangu ni tofauti kabisa na syed rizwan farook ingawa zote zinahusu apple kufungua simu. hii post yangu inahusu inshu ya mfanyabiashara wa dawa za kulevya
Mkuu hiyo kitu bado ndio maana iphone 6 yenye icloud inauzwa hata lak mbilisiku hizi zinatoka ki-ubwete zaidi kwa muda wa siku kumi ila ni gharama ni dola 180 kama unayo iliyofungwa ilete nikuonyeshe maajabu
Ebu fafanua hardware inashindwaje kusoma software?Apple wametengeneza software ambayo hata hardware inashindwa kuisoma.
Kuanzia ios 8 na kuendelea, security imeongezwa mara dufu.
siku hizi zinatoka ki-ubwete zaidi kwa muda wa siku kumi ila ni gharama ni dola 180 kama unayo iliyofungwa ilete nikuonyeshe maajabu
Mkuu unanunua Iphone ambazo hazifanyi kazi? Au mpya kwa bei hiyo?Acha kudanganya watu mkuu usijifanye mjuwaji ukaja umbuka,, au maneno yasiwe mengi.. Mimi ninazo iPhone 4,5 na 6 zote zina Apple ID unapatikana wapi nikuletee na mini nitakupa $200 kila moja ila ukishindwa uniambie utatoa nini na wewe.,? Namba hiyo nipigie nikuletee mzigo +255 624079307 usijione mjuwaji wengine ni kazi zetu hizo.. Ila kama unazo iphone zenye iyo Apple ID lete ninanunua ., iphone4 kwa 50,000/= 5 Kwa 70,000/= 6 Kwa 150,000. Na 6+ 200,000/=• ni hayo tu ila usitudanganye
Mkuu kwa nini siku 10 wakati matatizo ni software? au unaipeleka Uchina? Maana kuanzia IPhone5siku hizi zinatoka ki-ubwete zaidi kwa muda wa siku kumi ila ni gharama ni dola 180 kama unayo iliyofungwa ilete nikuonyeshe maajabu
FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.
Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
Mcfee kachanganywa na trumpHuelewi unaandika nini!! Mc Fee anagombea urais wapi? Acha kukurupuka!!
Mkuu unanunua Iphone ambazo hazifanyi kazi? Au mpya kwa bei hiyo?