Apple yashinikizwa kuifungua simu

Apple yashinikizwa kuifungua simu

FBI wakitaka kubomoa hiyo encryption na kuingia kwenye hiyo simu hata haiwezi chukua siku mbili, kuna vifaa vya kila aina dunia hii. Tatizo ni kwamba hii issue ina milengo tofauti ikiwemo sheria na uchumi wa Marekani. Kumbuka bidhaa za Apple zimeuzwa kila mahali duniani na zinatumika na watu katika kila nyanja wakiwemo wakuu wa serikali nyingi dunia hii. Sasa FBI wakidhihirisha urahisi wa kudecrypt hiyo simu, basi hapo italeta tension nyingi sana kiuchumi, kibiashara na kisheria.

Hapa naona kama ni kamchezo kanachezwa ili kupatia Apple biashara zaidi, Marekani hajambo kwenye hii mihezo ya biashara na uchumi.
FBI na hata police wa marekeni wanaweza ila inabidi wajaribu code nyingi kwa mpigo njia ambayo hawako tayari kuitumia maana ni risk kwa upande wa data na wao wanazhitaji data zilizopo.
 
Kamanda Mnyikungu kweli hukuchaganya wala kukurupuka ni kweli McFee ni mgombea urais wa Marekani kupitia Libertarian party na anatokea jimbo la Tennessee!! Samahani sana kwa kukuita mkurupukaji ulikuwa sahihi!!
nashukuru kwa kufuatilia zaidi nilikuwa nakulazimisha ufuatilie ili uongeze japo kakitu kidogo... jamaa ana ndoto za kukifanya chama chake kuwa chama cha tatu kwa ukubwa pale america, japo binafsi naonga ndoto yake itachukua miaka mingi sana kutimia
 
Ukiwa mtu maarufu dawa ni kutumia iPhone ili wasikuchuze chunguze.
 
Haya tufanye ni promo , teh teh watu wa android Bhana !
 
FBI na hata police wa marekeni wanaweza ila inabidi wajaribu code nyingi kwa mpigo njia ambayo hawako tayari kuitumia maana ni risk kwa upande wa data na wao wanazhitaji data zilizopo.

Mi nadhani pia Apple hawako tayari kuwaweka wateja wao kwenye risk kwa kutengeneza backdoor ili kuiaccess simu ya mteja. If at all wakakubali hili jambo watapoteza wateja na hata kufilisika. Apple isn't ready for this in the name of "supporting the federal Gov't"
 
Hehehe!! Hamna kitu hapo, waipeleke kule Kariokoo kwa wajanja uone ikifunguliwa tu. Hiyo simu itapigwa ramdisk firmware ambayo itaisukumiza brute-force, japo passcode encryption ni muziki, maana huwa inahifadhi passcode kwenye chip tofauti na ukithubutu kuilazimisha kwa brute-force zaidi ya mara kumi inaingia kwenye self desctruction mode na kuharibu kila kitu.

Lakini wajuzi wa FBI wana uwezo wa kuingia tu, huu ni mchezo unachezwa hapa wa kiini macho.
Aiseeee!!! Mkuu si rahisi kivivyo
 
kumbe hujui....kabla ya kujibu uwe unajiupdate kwanza... mcfee ni mgombea uraisi kupitia chama kinaitwa libertarian.. ukishathibitisha naomba uje uniombe msamaha kwa kuniita mkurupukaji
Anakijua Republic na Democract....
 
hacking inawezekana ila pia kuna legal issues mara haki za nanilii mara nini ndio manana ila wakiamua watawezakwanihao apple si watu hao hao wanazliwa wanafanya kazi wanaacha wanakuja wengine etc....
 
Jamaa hawajui kuwa technology zote US zinaanzia jeshini kisha zinakuja uraiani.

USikariri. Silicon Valley wanafanya mengi na makubwa.

Makampuni yanawekeza mabilioni kufanya utafiti halafu unakuja na hoja nyepesi hivyo?
 
nashukuru kwa kufuatilia zaidi nilikuwa nakulazimisha ufuatilie ili uongeze japo kakitu kidogo... jamaa ana ndoto za kukifanya chama chake kuwa chama cha tatu kwa ukubwa pale america, japo binafsi naonga ndoto yake itachukua miaka mingi sana kutimia

McFee alitengeneza na bado anatengeneza pesa nyingi sana kutokana na anti-virus yake, hivyo hana tatizo la fedha; hiyo ndoto yake is not far fetched kwasababu mpaka sasa hawa libertalian party wana wabunge ndani ya congress na hata senator Ron Paul is identified as a libertarian!!! It is dreamers like him who make things happen.
 
Back
Top Bottom