Kuna simu zenye spec za juu na ni za high quality kabisa mkuu, ambazo zina cost less than iphones, mfano:Tatizo ni specifications za juu au tatizo ni quality?
Lets say unaweza kufananisha front camera ya techno 8MP na front camera ya iphone6 yenye 1.2 mp???
Extraterrestrial tena mkuu!![emoji38] [emoji38]Hahaha Apple for classic people..watu wengi hawajui kwa nini battery za smartphone zinawahi kudrain, katika teknolojia as long as unaongeza capacity ya processor+added services basi ndio consumption ya power inazidi kuongezeka, teknolojia inayotumika kutengeneza battery kwa muda huu hairuhusu kutengeneza battery ambayo itakuwa slim na itakuwa na supply power kubwa. Tatizo linakuja kwamba wateja wanataka simu zizidi kuwa slim na pana wakati teknolojia hairuhusu kutengeneza battery slim zenye ubora kwa ajili ya kufit simu hizo, kinachotokea ni kwamba battery zinawahi kudrain kwenye smartphone nyingi.
Kuhusu iPhone SE naona Apple wako right. Apple wanatoa simu mpya kutokana na wateja wake wanataka nini within their limitations na sio competitor wake ametoa nini. iPhone 6S and 6S + at the moment ipo kwenye peak, and studies show that iPhone users wengi wanaprefer 4.7" display, so kitu alichofanya Apple ni kuimprove hiyo Simu kwa kufanya iwe strong than ever happened in the universe even to extraterrestrial beings.
1.Sony Xperia Z5 PremiumHapa tulikuwa tunajadili ubora wa simu. Kwa maoni yako simu ipi u can compare to apple?
Dah... Hii si recycling kabisa , yani wamechukua IPhone 5s na kuweka Soc na camera tofauti.. No innovation.. Lakini ZITANUNULIA kwa wingi... kweli SHIKAMOO APPLE
Hahaha Apple for classic people..watu wengi hawajui kwa nini battery za smartphone zinawahi kudrain, katika teknolojia as long as unaongeza capacity ya processor+added services basi ndio consumption ya power inazidi kuongezeka, teknolojia inayotumika kutengeneza battery kwa muda huu hairuhusu kutengeneza battery ambayo itakuwa slim na itakuwa na supply power kubwa. Tatizo linakuja kwamba wateja wanataka simu zizidi kuwa slim na pana wakati teknolojia hairuhusu kutengeneza battery slim zenye ubora kwa ajili ya kufit simu hizo, kinachotokea ni kwamba battery zinawahi kudrain kwenye smartphone nyingi.
Kuhusu iPhone SE naona Apple wako right. Apple wanatoa simu mpya kutokana na wateja wake wanataka nini within their limitations na sio competitor wake ametoa nini. iPhone 6S and 6S + at the moment ipo kwenye peak, and studies show that iPhone users wengi wanaprefer 4.7" display, so kitu alichofanya Apple ni kuimprove hiyo Simu kwa kufanya iwe strong than ever happened in the universe even to extraterrestrial beings.
Tumia iphone halaf utaona.... kwa hyo 1.2Mp yao hata wale wenye front camera ya 8mp hawamfikii kwa quality ya pcha... tumia utaona
Ukurasa wa bbc swahili on fb page,hivi leo kwenye soko la simu za mkononi NOKIA unaiweka kundi gani?nokipa atapambana na nani?nokia ana ubunifu gani?Finland wenyewe serikali yao inakiri kuwa kwa sasa soko la simu limeifanya Nokia iyumbe.Mi mwenyewe nilikua mteja wa Nokia ila hawez kukimbizana na HTc wala Sony,huko kwenye apple na Samsung ndo usiseme.Na Nokia ndo ilipaswa kuwa juu ya hao kwa unguli wake sokoni,ila wamekiri kuwa wamepotea kwa sasa.Kuchangia pato la nchi si ajabu,mbona hata hapa Bongo Dhahabu inachangia pato na bado kwenye soko la dunia haina soko-kwanza bbc
-halafu bbc swahili
-halafu facebook
asilimia 99 huyo jamaa nae kaskia skia tu kacopy kapaste.
nimekupa links za uhakika kama google finance tafuta link yako yoyote mapato utapata hayo hayo. kampuni iliokufa haiwezi kununua kampuni mwenzake kwa dola bilioni 18,
IphoneKuna point moja sana nitakupa ila sitaki kubishana na wewe, kama utanielewa sawa kama hutakubaliana na mimi basi..
Techno phantom front camera ina 8MP na iphone 6front camera 1.2MP,
Kwenye uhalisia na kwa maoni ya watumiaji simu gani kati ya hizo ina picha zenye quality nzuri??
Ni kweli mkuukwa upande wa iPhone wamejitahidi kuboresha betri zao sio kama Samsung
ina depend unataka kufanya nini mfano Adreno 530 ya snapdragon 820 ndio best gpu kwenye market kwa sasa hivyo kama mtu anapenda kucheza games au kuangalia video za kisasa (x265 10bit), kuconvert video, launchers na customise simu nk atachagua simu yenye snapdragon 820 kama lg g5, xiaomi mi5 nk. ili aweze kuenjoyHapa tulikuwa tunajadili ubora wa simu. Kwa maoni yako simu ipi u can compare to apple?
Sijawahi kununua simu kwa sababu ya camera.And this is what i was telling Kiranga
nokia kaacha kutengeneza simu toka 2013 hukusema unazungumzia nini, na kuhusu ubunifu wa nokia hauna mpinzani, leo hii ni 2016 lakini still hakuna simu duniani inayotengenezeka bila kutumia technology zake. Tofauti na makampuni uliyoyataja hapo juu Nokia yupo level nyengine linapokuja suala la kugundua vituUkurasa wa bbc swahili on fb page,hivi leo kwenye soko la simu za mkononi NOKIA unaiweka kundi gani?nokipa atapambana na nani?nokia ana ubunifu gani?Finland wenyewe serikali yao inakiri kuwa kwa sasa soko la simu limeifanya Nokia iyumbe.Mi mwenyewe nilikua mteja wa Nokia ila hawez kukimbizana na HTc wala Sony,huko kwenye apple na Samsung ndo usiseme.Na Nokia ndo ilipaswa kuwa juu ya hao kwa unguli wake sokoni,ila wamekiri kuwa wamepotea kwa sasa.Kuchangia pato la nchi si ajabu,mbona hata hapa Bongo Dhahabu inachangia pato na bado kwenye soko la dunia haina soko
Sasa ameacha kutengeneza sim 2013 wenzie kila siku wanatoa simu huoni kama nokia ameshapotezwa?nokia kaacha kutengeneza simu toka 2013 hukusema unazungumzia nini, na kuhusu ubunifu wa nokia hauna mpinzani, leo hii ni 2016 lakini still hakuna simu duniani inayotengenezeka bila kutumia technology zake. Tofauti na makampuni uliyoyataja hapo juu Nokia yupo level nyengine linapokuja suala la kugundua vitu
-movie moja ya HD ni sawa sawa na internal memory ya simu bila kampuni kama Nokia ambazo zinatoa technology zake zikafanya compression kama x264 na x265 leo hii ungedownload movie gb20? au video fupi za dakika kadhaa kwa mamia ya mb?
-unaona raha kutumia internet za kina Tigo na Voda ila kuna mtu aligundua hio internet na akahangaika huko nyuma. Nokia na Ericson wao wawili kwa asilimia kubwa wamechangia hili la sivyo ungekuwa na cable internet yako ukitaka kucheki msg whatsapp hadi uchomeke waya
kaacha sababu kauza department yake ya simu. lakini still ana tech zake za simu na ip na anaendelea kubaki kampuni yenye technology nyingi zaidi za simu.Sasa ameacha kutengeneza sim 2013 wenzie kila siku wanatoa simu huoni kama nokia ameshapotezwa?