Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 757
Apple Toka kuanzishwa kwake mpaka Leo imefanya mapinduzi mengi ya Teknolojia lakini Leo nitakuambia kuhusu usalama wa vifaa vya apple kwa mwaka 2024.
Apple ni Kampuni yenye nguvu sana ulimwenguni kutokana na jinsi ambavyo wanatengeneza bidhaa zao kuwa Unique sana kwenye huu ulimwengu.
Unajua apple wameanza kutumia mifumo ya security miaka kumi iliyopita lakini mpaka kufika mwaka 2024 wana tambulisha Teknolojia mpya ya usalama
Usisahau kutembelea chanel Yetu ya telegram kujifunza mengi zaidi
1) Fingerprint Scan
Apple ndo walikua watu wa mwanzo kutumia huu mfumo wa fingerprint kwenye simu zao Tena ilikua iphone 5 ilikua mwaka 2013 walipoweza kuweza ulinzi wa kufungua simu kwa kutumia kidole una scan nakutumia walikaa nayo mpaka kufika mwaka 20217.
2) Face Id
Ndipo ilipofika mwaka 2017 September apple wakamua kuja na Facial recognition security uwezo wa kutumia Uso kuweza kufungua simu na kutumia iphone wakaanza kuweka kwenye simu ya kwanza ilikua iphone X ndo ilipata hii Teknolojia.
Apple ni Kampuni ya kwanza kutumia face id Kwenye kutoa lock , kupakua program nk ndipo baadae ikasamba kwa simu nyingine.
Hatimaye apple kwa mara nyingine Tena wanashika dira ya dunia kwenye upande wa Teknolojia kuja na mfumo mpya wa Biometric mwaka 2024.
3) Optic Id
Mwaka 2024 apple watachia feature mpya ya optic id ya kuweza kutumia jicho kuweza kutoa lock simu yako pamoja na kufanya mambo kupitia njia ya ku scan tu jicho lako basi utakua na uwezo wa kufungua simu na kutumia.
Endelea kufuatilia page Yetu makala ya optic ID inakuja kwa undani zaidi si unajua Teknolojia ni Yetu sote .

BongoTech255🎮🔻
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili 😎 Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi 👇 https://bio.site/Bongotech255 Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️
t.me