Apple wako mbele ya Muda

Apple wako mbele ya Muda

Gadgets nyingi zinazokuja sasa zina teknolojia ya juu sana, shida ni kwetu users, hatu-utilize uwezo wa hivyo vifaa to the fullest. Tuko obsessed na kila kifaa kipya kinachootoka huku tumetumia vingine kwa salimia ndogo sana.
 
IMG_2234.jpg
 
Najua lakini ni kwanini wanaotengeneza wana opt kutumia hii android ya simu kwenye tv na vifaa vingi?
And os ya apple ya car navigation nikisoma review za mtandao inasifiwa kuliko hata car plày.
Lakini pia turudi kwenye kilichofanya tablet za android zifail ilikuwa ni os ile ile kutumika kwenye tablet na simu so same apps zinakuwa stretched kwa screen wakati apple alikuwa na dedicated os kwa simu na tablet.
Visiom pro naongea kutoka na review na wala kwa bei yake sijui hata kama naweza kuimiliki ila jinsi alivyoimplement kafanya hata VR ya meta iwe hamna kitu japo pia ya meta ilikuwa na malengo rofauti na ya vision pro.
By the way naona metaverse project itajifia kifo kama products na services nyingi za google zinavyojifia.
Android ya Tablet inakua na L kwa mbele, mfano android 12L.

Wachina wengi hawategemei kupata Hela kwa hardware wanayokuuzia bali hela wanapata kwenye software, Original android kwao ni rahisi kuichakachua kuliko varianties zake.

Mfano TV box hizi za Kina MxQ haziji na Android tv, Soc zake za Allwiner zimegundulika zina Backdoor wanaweza kukufanya uclick chochote bila wewe kujua. Umekaa zako unaangalia Netflix kumbe tv box yako inaclick matangazo huko watu wanapiga Adsense bila wewe kujua. Wangetumia Android TV ingekua ngumu sababu imefungwa kuliko ya Kawaida.

Kampuni zinazofuata sheria ni zile kubwa tu ndio zinatumia android tv, Android ya vifaa vyenye display kubwa etc.
 
Najua lakini ni kwanini wanaotengeneza wana opt kutumia hii android ya simu kwenye tv na vifaa vingi?
And os ya apple ya car navigation nikisoma review za mtandao inasifiwa kuliko hata car plày.
Lakini pia turudi kwenye kilichofanya tablet za android zifail ilikuwa ni os ile ile kutumika kwenye tablet na simu so same apps zinakuwa stretched kwa screen wakati apple alikuwa na dedicated os kwa simu na tablet.
Visiom pro naongea kutoka na review na wala kwa bei yake sijui hata kama naweza kuimiliki ila jinsi alivyoimplement kafanya hata VR ya meta iwe hamna kitu japo pia ya meta ilikuwa na malengo rofauti na ya vision pro.
By the way naona metaverse project itajifia kifo kama products na services nyingi za google zinavyojifia.

Labda Kwa ambao hawapati picha nini maana ya software optimization . Hizi picha mbili hapa zinaweza eleweka. Hapa ndo iPad anazipiga bao tablets (simu kubwa) za android
40253e70-3ba4-42dd-bb06-2280f0e2b606.jpg

095e6920-528b-4393-b9bc-6f98d1862afa.jpg
 
Hio ni Zamani, ila sasa Android ipo vizuri sana Tablet hasa One Ui ya Samsung, achana na Tablet natumia s20 kwenye TV sometime unasahu kabisa kama unatumia simu, kila kitu kipo on point na apps zote ninazotumia sijawahi pata tatizo la UI, mpaka za vichochoroni. kuna Video kibao zipo youtube unaweza cheki Tablet mode ya One Ui ikiwa compared na ipad os mambo. Mambo ya multitask etc. Kama hii

Mkuu nilikuwa nataka kuagiza Xiaomi Pad 6 Pro ikiwa released globally nimeona reviews nyingi wanaisifia na ina feature ya Video output pia
Nataka niitumie kwa matumizi ya masomo, je inafaa kwa ushauri wako?
Au ni tablet gani nyingine nzuri kwa 330£ maana nimetokea kuipenda sana
 
Unayo laptop? Kwa masomo laptop ni bora zaidi, hata kama unataka Tablet unaweza tafuta laptop yenye kalamu na touch ili upige 2 in 1.

Kwenye Tablet ndio pad 6 na 6 pro mara hii zinakuja na usb3.2 hivyo utapata video out utaweza tumia na vitu kama monitor na TV. Zote mbili zina Highend cpu utaweza fanya jambo lolote la mambo ya kusoma bila tatizo.

Kwa budget husika ngumu kufikia Value ya Pad 6, unaweza pata Tab s7 ya samsung used maybe.

Pia usisahau kalamu ni muhimu
 
Shukrani mkuu
Kama bei itakuwa kikwazo basi nitaenda hata na Xiaomi Pad 5 hata kama haina video output au nisubirie Pad 6 plain iachiwe globally nijue bei yake. Tatizo ni kwamba sipendi laptop

Naona Xiaomi Pad 5 inauzwa laki 5 AliExpress halafu keyboard yake ni laki 1. Stylus za Xiaomi zinafika hadi laki na 80

Hivi mkuu kwenye hizi devices zetu za Android kuna app yoyote inayoweza kutumika kama mbadala wa Microsoft word maana huo ndio wasiwasi wangu mkubwa. Nataka kujua kama kuna app nitakayoweza kutumia kwenye tablet kutunza na kuandika notes, hata kama ni ya kulipia

Pia kwa laki 8 kama kuna tablet ya kampuni yoyote itakayonifaa kwenye masomo naomba ushauri wako mkuu
 
Microsoft word ipo kwenye Android, haina feature zote ila vitu basic vyote vipo.

Pad 6 bei imetoka global, kwa ulaya itakua kama 1m, sijajua china.
 
Shukrani mkuu
Kama bei itakuwa kikwazo basi nitaenda hata na Xiaomi Pad 5 hata kama haina video output au nisubirie Pad 6 plain iachiwe globally nijue bei yake. Tatizo ni kwamba sipendi laptop

Naona Xiaomi Pad 5 inauzwa laki 5 AliExpress halafu keyboard yake ni laki 1. Stylus za Xiaomi zinafika hadi laki na 80

Hivi mkuu kwenye hizi devices zetu za Android kuna app yoyote inayoweza kutumika kama mbadala wa Microsoft word maana huo ndio wasiwasi wangu mkubwa. Nataka kujua kama kuna app nitakayoweza kutumia kwenye tablet kutunza na kuandika notes, hata kama ni ya kulipia

Pia kwa laki 8 kama kuna tablet ya kampuni yoyote itakayonifaa kwenye masomo naomba ushauri wako mkuu
Si heri tu ununue laptop uachane na shida zote hizi [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom