Apple To Host Special Event today {Sept. 10 }

img_8986.jpg
 
naona wanajitahidi sana kufanya kitu tofauti kidogo maana hii fingerprint unlock sikuna baadi ya nokia unafanya hivyo..
 
mi nimependa fingerprint na 64bit ila vilivyobakia ni vya kawaida sana
 
hakuna simu ya Nokia yenye hiyo technolojia ya fingerprint, ni applications kama Fingerprint Scanner au Fingerprint Lock ambazo zipo kwenye most smartphone os lakini hazina hardware ya fingerprint. Apple wameweka Hardware ya Fingerprint kwenye home button..
LB_8465.jpg
 
na pia apple sio wa kwanza kueka ni just sababu ni king wa kubrainwash ndio maana wamepata attention kubwa.

ipo kwenye simu za siemens, fujitsu na manufacture wengine
 
model gani ya smartphone za siemens yenye biometrics? maana mdau hapo juu alishasema kuna Nokia yenye Biometrics lakini kumbe Nokia hamna. maana biometrics zilianza kwenye Motorola Atrix 2, fujitsu then Pantech..
 
hii sio smartphone kakaa,,

handy2.jpg
my point is, simu za fingerprint zilikuwepo, so its not new thing, haijalishi kama ni smart au ni dumb. Tena sio kitu cha kujisifia kama dumb phones walikuwa na hii feature
 
mi nimependa fingerprint na 64bit ila vilivyobakia ni vya kawaida sana

Fingerprint recognition is played out, tumetumia kwenye laptop tangu 2006.

I am curious to find out the practical difference of a 64 bit OS.
 
my point is, simu za fingerprint zilikuwepo, so its not new thing, haijalishi kama ni smart au ni dumb. Tena sio kitu cha kujisifia kama dumb phones walikuwa na hii feature
that is why nikauliza ni ''smartphone gani ya siemens yenye fingerprint'' chief mkwawa akasema siemens, thats why sikuuliza dumb phone kama unavyosema wewe,,
 
model gani ya smartphone za siemens yenye biometrics? maana mdau hapo juu alishasema kuna Nokia yenye Biometrics lakini kumbe Nokia hamna. maana biometrics zilianza kwenye Motorola Atrix 2, fujitsu then Pantech..

actually neno smartphone umeliongeza wewe mimi nimesema simu, enzi za smartphone siemens hakujihusisha sana anaendelea na mambo yake ya madawa huko ujerumani.

ila sababu unataka smartphone twende huko.

fujitsu washakua nayo hii ni simu ya symbian nio waterproof na in fingerprint scanner. kuwa ni symbian tayari ni smartphone.
fujitsu-f-1a-first-waterproof-cell-phone-with-fingerprint-sensor.jpg

nyengine zipo hapa kama 13 hv
Cell Phones with Fingerprint Scanner - Phonegg
 
nadhani swali langu ulilielewa lakini, mana hukulipatia jibu. hizi brand zingine sina shida nazo,, nilichokuwa namaanisha ni kwamba hakuna Smartphone za Nokia (kama alivyosema mdau) na Siemens ( kama ulivyodhani wewe) yenye Biometrics. Ni hapo tu, ofcourse brand zingine zimekuwa na hiyo kitu
 
Hizo iPhone 5c rangi ova Lumia... Apples's iLumia..
 
Back
Top Bottom