Apple To Host Special Event today {Sept. 10 }

Apple To Host Special Event today {Sept. 10 }

mkuu hyo ya kat imenivutiaaa!! Ni kwa wanaonunua kwa mikataba tuu au bei halisi?
bei halisi bila mkataba nimesoma ni mkasi mrefu tu zaidi ya milioni na nusu hivi,
 
Duhhh!!! Nmeenda youtube watu wana ponda et c stands for cheap or china or color!! Sasa sjui lipi la kweli ila na his hii bidhaaa itawashika weng hasa ambao ni brain washed !!! Kuna watu wanajua hamna smu kali kama za apple... Hata akiwa na i phone 3g ambayo ni outdated anajikutaaa....

Then i heard now siri itakua sauti ya kiumeeee!!! Nadhan wadada wataongeza kutumia and viceversa is true!!
 
Apple’s new iPhone 5c will run $549 for a 16GB and
$649 for a 32GB model off contract, according to
Apple’s store site.

Kwa hii pesa bora ninunue kitu kingine
 
Ukifananisa 5s na S4.. naona S4 iko unique.. Sasa ukiifananisha na Note 3 ndio utacheeeeka.
 
Back
Top Bottom