Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day

angalia facts zako vizuri usipotoke! vijana wengi na wasioelewa simu wanatumia android, fanya tu utafiti vizuri, vijana wanataka kurushiana nyimbo, wanataka kurushiana picha, wanataka kuchomeka memory card, iPhone haina mambo hizo ni usumbufu kwa wengi, angalia hata hum jf tu kule kwenye matakangazo "nataka simu yenye android"! Kama mefatilia vizuri habari, ukaingalia watu kwenye zile foleni wote ni watu wazima wanaojitambua, wengi zaidi ni watu tech savvy, watu wengi wanaotumia iOS na Mac OS ni watu wenye uelewa wa technolojia ya mawasiliano.

Wow!!! What a biased opinion. But don't call it facts! Cz facts my friend say that, in a recent article by time magazine, Android has over 52.1 percent market share while Apple has 43.5! You clearly don't know what ur talking about? The reason why you see old people standing in the lines waiting for the next iPhone is because the iOS software is the most easy to use and adapt compared to Android, Windows or the dead RIM. I am a Software Engineer student 3rd year, so when you say tech savvy, you're in my area of enjoyment. Eti ni usumbufu kwa wengi? U mean u, that clearly don't know to what capacity can a smartphone perform or should perform. But once again, both of our opinions will be biased since we are fans of two different Eco-systems.Next time when u make such a biased comment, plz make it a Lil informative and support ur opinion with some strong facts.
 
kiswahili kinakusumbua kidogo mkuu? mimi kiingereza kinanisumbua, kama hautojali kuandika kiswahili nitapenda.
hakuna sehemu tuliyoongelea wingi wa watumiaji kwenye software yoyote, lakini kwa vile umeamua kuzungumzia naomba uziangalie tena namba zako 52.2 kwa 43.5% market share, na watumiaji wengi wa smartphone ni vijana, kwa namba hiyo tu inaonesha vijana wengi wako android, au? na pia inategemea na sehemu uliyopo, mimi niko Tanzania, katika kila watu ishirini wenye smartphone, iPhone hazizidi tatu, ukiuliza utaambiwa iPhone "ngumu kutumia" (au ni ngumu kwangu tu kama unavyodai, well, nimetumia kuanzia original iPhone mpaka 5s sijawahi kununua simu ya Android). Mimi huwa sipendi kuitwa shabiki, lakini panapo ukweli toa sifa, Apple ndiyo kampuni iliyoonesha mwanga na tafsiri mpya ya smartphone kutoka kwenye matofali makubwa ya Simon, Ericson GS88, Nokia 9000 (wakati huo symbian ndiyo mpango mzima) na kuja kwenye simu sleek zenye mvuto, kitu ambacho Apple wamekimaintain mpaka leo, nafasi ya Apple katika mstakabali wa smartphone ni kubwa sana, na wameshajijengea database ya wateja waaminifu (japo mimi mwaka huu sijapenda design nzima), kama unadhani UI ya iOS ni rahisi kiasi hicho kwa watumiaji wa kawaida uliza tena, fanya research isiyo rasmi tu kimyakimya unapopiga story na watumiaji wa Android pendekeza kwa nini asinunue Android?! Tuache ushabiki wa Samsung simu za kike, iPhone simu za wanafunzi (???!!!!) tuongelee facts tu, hatubishani na hatushindani kwa lolote, mimi ni mtumiaji mzuri wa iPhone lakini napoona kitu tofauti kama nilivyoona mwaka huu sina imani kali kiasi cha kusifia au kupakaza kitu kisicho kweli, upande wa design Note Edge imeshinda, upande wa software Nasimama na iOS 8.
Asante.
 
Technology is like fashion, what works for u, might not necessarily work for someone else. Ur taste doesn't mean it'll be my taste. I'm an Android fan, a well informed/knowledgeable fan. But I appreciate technology regardless of what brand I like. Apple sells because it has lots of teenagers and uninformed fans. But then again they make good products.

This sound more like a fanboy comment if anything. Your assessment of how apple sells is nothing more than just an opinion, and unasema as if someone tried to push iPhone/iOS down your throat.
And as an advice don't identify yourself by a smartphone operating system.
 
kiswahili kinakusumbua kidogo mkuu? mimi kiingereza kinanisumbua, kama hautojali kuandika kiswahili nitapenda.
hakuna sehemu tuliyoongelea wingi wa watumiaji kwenye software yoyote, lakini kwa vile umeamua kuzungumzia naomba uziangalie tena namba zako 52.2 kwa 43.5% market share, na watumiaji wengi wa smartphone ni vijana, kwa namba hiyo tu inaonesha vijana wengi wako android, au? na pia inategemea na sehemu uliyopo, mimi niko Tanzania, katika kila watu ishirini wenye smartphone, iPhone hazizidi tatu, ukiuliza utaambiwa iPhone "ngumu kutumia" (au ni ngumu kwangu tu kama unavyodai, well, nimetumia kuanzia original iPhone mpaka 5s sijawahi kununua simu ya Android). Mimi huwa sipendi kuitwa shabiki, lakini panapo ukweli toa sifa, Apple ndiyo kampuni iliyoonesha mwanga na tafsiri mpya ya smartphone kutoka kwenye matofali makubwa ya Simon, Ericson GS88, Nokia 9000 (wakati huo symbian ndiyo mpango mzima) na kuja kwenye simu sleek zenye mvuto, kitu ambacho Apple wamekimaintain mpaka leo, nafasi ya Apple katika mstakabali wa smartphone ni kubwa sana, na wameshajijengea database ya wateja waaminifu (japo mimi mwaka huu sijapenda design nzima), kama unadhani UI ya iOS ni rahisi kiasi hicho kwa watumiaji wa kawaida uliza tena, fanya research isiyo rasmi tu kimyakimya unapopiga story na watumiaji wa Android pendekeza kwa nini asinunue Android?! Tuache ushabiki wa Samsung simu za kike, iPhone simu za wanafunzi (???!!!!) tuongelee facts tu, hatubishani na hatushindani kwa lolote, mimi ni mtumiaji mzuri wa iPhone lakini napoona kitu tofauti kama nilivyoona mwaka huu sina imani kali kiasi cha kusifia au kupakaza kitu kisicho kweli, upande wa design Note Edge imeshinda, upande wa software Nasimama na iOS 8.
Asante.

Kaka kama umeanza kutumia iphone zamani basi unajua ubishi wa iOS na Android huwa hauishi. Binafsi napenda products za Apple kwa kuwa ziko unique, lakini bahati mbaya sio user friendly kwa wengi na huwa ghali pasipo sababu kubwa.
Data nyingi huonesha kwamba Smartphones zenye android zinauzwa zaidi kuliko iphones...
 
android ina variety 18,000 vs chini ya simu 10 za apple.
 
una maanisha kuna aina 18,000 za simu zinazorun android vs simu 8 zinazorun iOS? uko sahihi, na Apple nadhani lengo ni kuhodhi soko la wapenzi wa iOS.
 
Kaka kama umeanza kutumia iphone zamani basi unajua ubishi wa iOS na Android huwa hauishi. Binafsi napenda products za Apple kwa kuwa ziko unique, lakini bahati mbaya sio user friendly kwa wengi na huwa ghali pasipo sababu kubwa.
Data nyingi huonesha kwamba Smartphones zenye android zinauzwa zaidi kuliko iphones...

Hahahahaa, naelewa mkuu, ndiyo maana mimi huwa najiita mpenzi wa iOS na Apple kwa ujumla, lakini siyo mshabiki, shabiki sifa yake ni ubishi na kushabikia timu yake tu hata kama imevurunda! Ni kweli Android inauza sana, partly ni kwa sababu UI yake ni rafiki kwa mtumiaji, pia wingi wa apps maana kila mtu mwenye takataka yake anatupia market, pia uwingi wa simu za bei rahisi zinazorun Android.
 
android ina variety 18,000 vs chini ya simu 10 za apple.

chief-mkwawa hata mimi napenda apple. Natumia products zao toka macbook pro, ipad air na iphone 5s, lakini niko mkweli. Acha hizo elfu 18 simu tofauti za androids, fanya tu Samsung vs Iphone. Natumia pia Samsung Galaxy S5. Kuna tofauti nyingi za simu hizi. Lakini nadhani data zinaeleza wengi wako upande gani...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa, naelewa mkuu, ndiyo maana mimi huwa najiita mpenzi wa iOS na Apple kwa ujumla, lakini siyo mshabiki, shabiki sifa yake ni ubishi na kushabikia timu yake tu hata kama imevurunda! Ni kweli Android inauza sana, partly ni kwa sababu UI yake ni rafiki kwa mtumiaji, pia wingi wa apps maana kila mtu mwenye takataka yake anatupia market, pia uwingi wa simu za bei rahisi zinazorun Android.

Yeah. Ni kweli mkuu. Iphone ziko stable, hazi heat kama Samsung Galaxy... At least kwa layman kama mimi hivyo naona. Iphone ziko classy. Shida bei na ugumu wa kutumia. Mtu ukimwachia simu hata kufungua anaogopa.
 
CYBERTEQ nimepokea jana Iphone 6+ Gold,ki ukweli nimependa,ukiishika mkononi ndio utajua.For the time being napumzika kubeba Ipad,Iphone 6+ na 5s,zinanitosha. Please fanya kuorder, you will not regret lol!

I went to the store on Friday, 6+ was a bit too big for me, got the 6... Trying iOS for the 3rd time after two failed short tenure attempts in the past with i4 and i5s... Maybe it will work for me this time
 
Last edited by a moderator:
Yeah. Ni kweli mkuu. Iphone ziko stable, hazi heat kama Samsung Galaxy... At least kwa layman kama mimi hivyo naona. Iphone ziko classy. Shida bei na ugumu wa kutumia. Mtu ukimwachia simu hata kufungua anaogopa.

Apple inabaki kua nzuri kimfumo umbo na urahisi kimatumizi endapo mtumiaji atakidhi gharama za APPS ili kuifanya iweze kuwacliana kirahisi na vifaa vingine vya android/windows OS. Vifaa vya apple ni vizuri/makini na unique ila vina uchoyo wa hali ya juu kwenye kujamiiana/kuingiliana na vifaa vingine. Ughali wa APPS zake ndo sifa inayopelekea iOS kuonekana ngumu na sio rafiki kwa mtumiaji zidi ya vifaa vya Android. Itakulazimu kununua APPS nyingi ili kuifurahia.

Android itabaki kua nzuri zaid kwa wanaopenda kucheza na OS na wale wanaopenda kurushiana miziki/muvi na mafile kwa urahisi zaid (Compatibility Factor), na sifa kuu ya APPS za bure. Uchoyo huu wa iOS ndo unafanya Android kupendwa zaid nje ya marekani na kuonekana bora zaidi kuliko iOS. Kiuhalisia iOS ni rahisi zaidi kutumia kuliko Android. Sasa basi, nani anapenda iOS na nani anapenda Android ni jambo la kujua nini unataka na rahisi katika ufanyaji kazi wake na wako.
 
suala la apps kwa os fulani kuwa free ni myth tu halina ukweli
 
Yeah. Ni kweli mkuu. Iphone ziko stable, hazi heat kama Samsung Galaxy... At least kwa layman kama mimi hivyo naona. Iphone ziko classy. Shida bei na ugumu wa kutumia. Mtu ukimwachia simu hata kufungua anaogopa.
Nimemsomea comment hii Husband,kacheka sana,ni mmoja kati ya watu wasiopenda kutumia Iphone,kisa ngumu kutumia yeye na Samsung tu.
 
Hapo sinishapa vits hapo nishaepukana na usumbufu wa daladala dar mmh sithubutu nitaishia huku huku kwenye vi lg,samsung
 
Samsung iko juu iphone ipo juu kwa bei naifananisha na blackberry

95% ya wamarekani wanatumia iphone sababu ni brand yao pulus the rest of the world! Kuna possibility wakawa wameuZa kiasi hicho kwa sababu hapa uk ktk most of apple shop walikuwa awakuuzii hvi hvi mpaka uwe ume pre order...!
 
Back
Top Bottom