hahahaa, hii nayo inachekesha aisee! bb siku hizi viwango vyake ni huawei na tecno...hachezi ngoma ya wakubwa tena huyu anacheza ngoma ya vijana mwisho saa nne usiku.bado mtasubiri saanaa kwa bb z30
hapa bongo nna uhakika wenye nazo hawajafika 500 tz nzima
Vipi mkuu umeshanunua Note Edge? iPhone mwaka huu wameniangusha, lakin kuuza wameuza na wanaendelea kuuza, na bado utaona foleni zitavokuwa ndefu madukani! Hawa jamaa bana walmewekewa msingi mzuri sana na marehem Jobs, wanauza mpaka wanaumwa.
Zigo hili hapa baba, kila pipa linapakia iPhone 250000 (laki mbili na elfu hamsini) kutoka kulee kwa wale jamaa zetu wenye macho madogo kuelekea kwa jaluo na kwingineko.
View attachment 185733
naskia crdb na voda wanatoa samsung , sijawahi kufuatilia lakini. wenzetu kampuni zao za simu wanasubsidize, iphone 6plus 32gb wanauziwa $259 kama skosei, anakuwa na mkataba wa kutumia mtandao huo tu kwa kulipia bundle ya kiwango fulani cha sauti na data kila mwezi, ikiisha miaka miwili anaruhusiwa ku-unlock, kampuni zingine ikitoka simu mpya unaruhusiwa kwenda kubadlisha na kulipa tofauti kidogo.
Unaweza kununua hyo $329 halafu ukaileta ukaunlock kwa hapa bongo??
Baada ya hyo miaka miwili ndo utaweza ku unlock?? hawa wabongo wana unlock nini??
wao wanaweza kununua kwa sababu ni za mkataba ila ingekuwa ni cash sisi nakuhakikishia hakuna mzungu angenunua ata kama apple ni kampuni yao...
Hata ningekuwa mie ningkuwa nabadili hata kila miezi sita
hapa bongo nna uhakika wenye nazo hawajafika 500 tz nzima
CYBERTEQ nimepokea jana Iphone 6+ Gold,ki ukweli nimependa,ukiishika mkononi ndio utajua.For the time being napumzika kubeba Ipad,Iphone 6+ na 5s,zinanitosha. Please fanya kuorder, you will not regret lol!
Technology is like fashion, what works for u, might not necessarily work for someone else. Ur taste doesn't mean it'll be my taste. I'm an Android fan, a well informed/knowledgeable fan. But I appreciate technology regardless of what brand I like. Apple sells because it has lots of teenagers and uninformed fans. But then again they make good products.
Bado nakodolea mimacho tu,kesho nitaweka line nikianza kuitumia,nitakujulisha Mkuu,only mwonekano wake si mbaya sana,japo hizo curved corner zinaboa kidogo.Ha ha ha,nitakuconvince mkuu,kama sio wewe basi wife umpatie surprize,na hivi hana makuu,utakuwa umemtendea haki.hahahahaa, wamekupa na pesa uje kuniconvice nini?!!...mwaka huu wamenikosa na hiyo design yao sijapendezwa nayo. tofauti gani kubwa na iphone5s ambayo umeiona, tofauti na kioo ni nini mkuu? najua bado unaichezeachezea utagundua mapya. ni heri wife wangu hachaguagi simu, toka nilivyomwachia 5 mpaka leo wala hana maneno na hajawahi kuona tofauti ya 5 na 5s...mbona lingekuwa deni! hongera lakini mkuu, ukiendelea kuniconvice huenda nikalegeza kidogo msimamo!
Asante kwa jibu mwafaka,asipoelewa hapa,hatuna msaada zaidi wa kumsaidia kuelewa ni nini maana ya products za Apple!angalia facts zako vizuri usipotoke! vijana wengi na wasioelewa simu wanatumia android, fanya tu utafiti vizuri, vijana wanataka kurushiana nyimbo, wanataka kurushiana picha, wanataka kuchomeka memory card, iPhone haina mambo hizo ni usumbufu kwa wengi, angalia hata hum jf tu kule kwenye matakangazo "nataka simu yenye android"! Kama mefatilia vizuri habari, ukaingalia watu kwenye zile foleni wote ni watu wazima wanaojitambua, wengi zaidi ni watu tech savvy, watu wengi wanaotumia iOS na Mac OS ni watu wenye uelewa wa technolojia ya mawasiliano.
Bado nakodolea mimacho tu,kesho nitaweka line nikianza kuitumia,nitakujulisha Mkuu,only mwonekano wake si mbaya sana,japo hizo curved corner zinaboa kidogo.Ha ha ha,nitakuconvince mkuu,kama sio wewe basi wife umpatie surprize,na hivi hana makuu,utakuwa umemtendea haki.