Apple sasa waondoa USB port

baada ya minong'ono ya muda mrefu kwamba Apple katika simu zao za 2020, ambazo zinatarajiwa kuwa apple iphone 9(se 2)12,12pro,12 pro max, kuhamia usb type c, sasa kama kawaida yao wazee suprise wamekwepa umbea na kuamua kuja na idea yao mpya kabisa,wanatoa kabisa tundu la charger,hivyo hatutarajii tena kutumia simu ikiwa ina chajiwa.

japokuwa wadau mbali mbali wametabiri changamoto katika uhamishaji wa data kutoka katika vifaa nje ya ecosystem ya apple,lakini bado apple wanaonyesha wamejipanga kabisa na mabadiliko hato,kwani hiyo wireless charger itakuwa na uwezo huo wa kuhamisha files pia.

ndio, tech inakwenda kasi, tusubiri Mkorea atakuja na kitu gani kama jibu.
Chanzo cha habari tafadhali
 
Naomba wasije wakawaambukiza haya makampuni mengine ya simu maana mafundi wa kuflash itakula kwao. Lakini nadhani wakilifikiria hilo hawatakurupuka maana maintenance itafanyika vipi?
Hawawezi fanya maamuzi bila kujua hayo yote.

Wamefikiria zaidi ya hilo unalowaza wewe.
 
baada ya minong'ono ya muda mrefu kwamba Apple katika simu zao za 2020, ambazo zinatarajiwa kuwa apple iphone 9(se 2)12,12pro,12 pro max, kuhamia usb type c, sasa kama kawaida yao wazee suprise wamekwepa umbea na kuamua kuja na idea yao mpya kabisa,wanatoa kabisa tundu la charger,hivyo hatutarajii tena kutumia simu ikiwa ina chajiwa.

japokuwa wadau mbali mbali wametabiri changamoto katika uhamishaji wa data kutoka katika vifaa nje ya ecosystem ya apple,lakini bado apple wanaonyesha wamejipanga kabisa na mabadiliko hato,kwani hiyo wireless charger itakuwa na uwezo huo wa kuhamisha files pia.

ndio, tech inakwenda kasi, tusubiri Mkorea atakuja na kitu gani kama jibu.
Give me more optiins, not less.

Niachie nichague. Kuna mautundu mengine utahitaji USB.

Ndiyo maana situmii Apple products.
 
Ukishakuwa gamer wa pc hasa kwenye mambo ya "oceanofgames" huwezi vutiwa na iphone.
Mkuu ninaomba msaada wako.

Ninaomba uniambie umuhimu sana wa kutumia IPhone dhidi ya simu zingine.

Ina huduma zipi nzuri tofauti na simu zingine kama Tecno, Infinix etc.
 
Ndoto za alinacha hizo, Yesu arudi kutoka wapi??, Yeye alijifia zake huko Kashmiri zamani sana.

Angalia documentary ya BBC on; Rozabal shrine.
Unafikiri Yesu Kristo ni yule Taahira Muhammad Mbakaji aliyembaka mtoto Aisha wa miaka 9?

Yule Laanatulah wa Maka na Madina ndiye aliyekufa akiwa chongo baada ya kuadhibiwa kwa upanga akitangaza lifestyle ya Waarabu wakati huo kuwa eti ni dini.
 
Ninamuachia Mungu akujibu.
 
Back
Top Bottom