Apple na Samsung taabani, soko latekwa na Mchina

pia 2015 kampuni nyingi za kichina pia zimetake hit kama vile lenovo na xiaomi, kampuni kubwa ya kichina iliokuwa ni huawei kidogo na kampuni nyengine iliokuwa ni LG though hii si ya china.

ukija kwenye mapato sasa almost wote hao hawapati faida kwenye simu, Faida zote zinaenda kwa Apple na Microsoft(indirect) na samsung kidogo, pia Google nae anapata faida indirectly.

Canaccord.jpg

Apple anapata asilimia 95% ya faida yote ya soko la simu hizo 5 zilizobakia ndio wanagawana wengine

Apple now rakes in 95% of the smartphone industry profits
 
Apple katisha
 
Moved from blackberry Passport to TECNO and since then just held one model the TECNO L6 for the past year or so and would recommend anyone to do the same!!!!
You could opt for BlackBerry Priv,huta juta
 
Hii dunia hainaga privacy ila sema tunafurahishana tu, alietengeneza na binadamu na anayeweza kuiharibu pia ni binadamu huyo huyo
Baada ya passport,bb wametoa Priv,ni toleo jipya,sijaongelea privacy
 
Basi mie huwa nafikiri kwamba Apple wanasoko lao maaluum ambalo wamesha win.

Hivyo hata ushindani ukija wao huwa wana uhakika wa kuendeleza soko kama kawaida...

Na pia sijawahi kuona wana launch bidhaa zao Africa apart from SA Only ukiringanisha na Europe na USA na Asia
 
Back
Top Bottom