Pole sana ndugu nadhani u mgeni na huyu bwana mkubwa mshana JR binafsi kwa ninavyo mfahamu nilichukua tahadhari mapemahe? nimefungua uzi fasta huku udenda ukinitoka kumbe balaa. au macho yangu?
We shanga huoni gold kwa huyo nyoka?
Nitafutie dume na jike nifuge. Umaskini ni uwage mie..Duu kweli aisee
Taja wewe mwenye mali.Una bei gani? Tuma advance
Mkuu mbona unazidi kunitamanisha .Golden snake. Ngozi yake inagharama sana hiyo. Ukiwapata watano tu unakimbilia 60million..
Rafiki sikukuuliza, nimekuambia, rafiki kwa nini tunafanyiana hivyo? Wewe kweeeeli wa kunifanyia hivyo!Unamuulizia huyu? View attachment 315910View attachment 315910