Inaitwa?Maghayo Busu la Kenge hauna "Ghayos app" ?
Branch inatoa mikopo?Branch
Branch inatoa nikogo?
Hilo tangazo liko miaka mingi mbona, wameanza lini kutoa mikopo mitandaoni wakati walisitisha karibu mwaka sasa? 😲
AhHilo tangazo liko miaka mingi mbona, wameanza lini kutoa mikopo mitandaoni wakati walisitisha karibu mwaka sasa? 😲
Au unachanganya Branch na Tala?Hilo tangazo liko miaka mingi mbona, wameanza lini kutoa mikopo mitandaoni wakati walisitisha karibu mwaka sasa? 😲
Branch walisimamisha mikopo mwaka sasa, labda kama wameanza tena hivi karibuni. 😳Au unachanganya Branch na Tala?
Wabongo waliwaibia Tala hadi wakakimbia
Branch wapo ila kwa android phones pekee