Zipo wapi?Zipo
Tusubiri wajuzi watupe mwongozoTuhamie wapi chief
Hii hapana.Nilikuwa natumia Google sms ila yaki fala inachelewesha Sms, pia ukifungua Data ndo umejikologa ima syncs sana yaan mpaka karaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Duh! Hadi app za sms mnadownload
Jaribu pulse mkuu hutojutia,