mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,365
- 6,515
duuuuh sio mbaya ila copy lile file la obb uliloli unzip na ulihamishe kwenye simu.sasa lipeleke kwenda android~obb lipaste humoView attachment 691900View attachment 691901
Nimeamua ku unzip kwa kutumia PC, cjui nitakuwa sahihi???.
View attachment 691902 Ila nikifungua haiendi zaidi ya hiyo safe mode... Alafu inakata kabisa na app yenyewe inajifunga... Sasa cjui ni cmu yangu au bado nimekosea mahali
Done.. Nimeanza ligi sasa.duuuuh sio mbaya ila copy lile file la obb uliloli unzip na ulihamishe kwenye simu.sasa lipeleke kwenda android~obb lipaste humo
Hata mimi nili unzip kwa PC..then nikaliamishia kwenye simu....hapo bonyeza exit safe mode na game litaendelea
Naona mnacheza na VIKATUNI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] halina uhalisia ,MTU katengeneza MOD yake anawaaminisha ni FTS18[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cc tunaangalia challenge bob sio uhalisiaNaona mnacheza na VIKATUNI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] halina uhalisia ,MTU katengeneza MOD yake anawaaminisha ni FTS18[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Poor
Ingia dls online upate challenge za ukwelCc tunaangalia challenge bob sio uhalisia
Ww huniwezi wwTimu yangu inaitwa wazee wa kazi atakayekuwa tayari tafadhali asisite
We mbona nitakufunga sana mkuu... sijawahi poteza pambano online zaidi ya draw moja na vipigo heavy kwa watuTimu yangu inaitwa wazee wa kazi atakayekuwa tayari tafadhali asisite
mkuu tupate pambano km unajiwezIngia dls online upate challenge za ukwel