Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Daaah shikamoo man cty
Hili game liko real kila kitu hamna vya kugushi umu psg ndo hafungiki kabisa....wako HD tofaut na mod nyingine.
Hapo sahau ubingwa mkuuMan cty hana undugu na mtu.
Asanteni wadau nmeipata View attachment 674638
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo sahau ubingwa mkuu
Ndo ilo ilo mod tu ndo tofaut.Hii ndo sawa mnayocheza ninyi mkuu naona hapa imeandikwa pes 2018 Khalifavinnie Mtu wa Green
Naomba link mkuuNdo ilo ilo mod tu ndo tofaut.
Mkuu hili ni la mwaka gani ?
Tuwanyooshe kina walcot...
Hili gem ntalipataje mtu wa kijaniHapo sahau ubingwa mkuu
Hii inaelekea nzuri mkuu nielekeze ntalipataje process zakeMan cty hana undugu na mtu.
Ngoja ntaleta link mkuu"""Hili gem ntalipataje mtu wa kijani