Apk ya Dream League soccer 2017

Ka tecno kangu c8 cjui nikaroot mana mm ni mgonjwa wa hii game toka ile ya 2015 tatizo ni upatikanaji wa coin ni changamoto kwa hii game vission ya 2016 na 2017 yaani wanazitoa chache mno alafu wachezaji bei kubwa yaani yakupasa ucheze miezi 6 ili kuwa na kikosi imara cha wachezaji angalau kuanzia pt 80 kuendelea
 
Raha ya hii game ucnunue waxhezaj wenye majina upgrade unaoanza nao ili ukikutana na kina messi uwapige
 


Hivi after Elite division kuna michuano gani tena??? Au ndio mwisho??
Ukitoko elite kuna mashindano ya timu za tifa then kuna all star competition
Then kuna continent competition (eg . African all star, southern American all star etc.) Then unakuja kucheza na first touch then unacheza na timu yako mwenyewe na hapo ndo mwisho
 

Wala haina aja ya kucheza miezi 6,cheza internet ikiwa on kwenye simu yako. Yale matangazo yanasaidia kuongeza coins.
Halafu usinunue wachezaji kwanza,waboreshe ulionao,uku ukiendelea kujenga uwanja polepole.
 
Usisahau kuwajaza wachezaji wawe na nguvu kila mechi wanakupa option ya wachezaji wa tatu kila mechi eg. Accuracy and fitness, defending, goalkeeping and shooting inategemea na mchezaji Mfano kipa una muongezea goalkeeping na beki defending na foward shooting and accuracy na viungo distrubution
 
WAKUU nimeigmfanya Dream league kuwa system app siioni kwa lucky patcher
Nifanyeje???
 
Hii game me hainisumbui kabisa na wala sinahaja ya kucheat coin maana na ndo raha ya mashindano ( upate kihalali)

Japo niliifutaga mwanzo hii nimeianza mwezi jana mwishoni na hata hvo nacheza mara chache kutokana na muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…