Apk ya Dream League soccer 2017

Madrid ukiweka hard ni magumu,yanapiga kaunta halafu yanapiga sana heda babaqe!!!!
 
Halafu mkuu coins za fts zinatumika kwenye nn??
Kununua wachezaji unapocheza option ya manager mode unapoenda kufunza timu flani yaweza kuwa Sunderland pindi transfer window ikiwa open unasajili player pamoja na kurenew mikataba ya wachezaji mkuu
 
Mkuu nimefungua link naona download kma ziko nyingi sielew niclick ipi mojawapo manake zingine zinanipeleka sehem tofaut
Shuka chini kabisa baada ya yale mapicha ya gemu.....angalia kwa makini utakuta link mbili zinafuatana....moja ya zip(mb 260+) na nyingine ya apk(mb 67) download zote hizo mbili( usitumie opera)
 
Shuka chini kabisa baada ya yale mapicha ya gemu.....angalia kwa makini utakuta link mbili zinafuatana....moja ya zip(mb 260+) na nyingine ya apk(mb 67) download zote hizo mbili( usitumie opera)
Umesema nisitumie opera nitumie nini ambayo itasaidia kufanikisha hii ishu
 
Naona barca kakaza""" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hataki Rmadrid ninyanyue kwapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…