Apk ya Dream League soccer 2017

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani sana nikutane na wewe online [emoji23][emoji23] tier ya 4
 
hahaha hicho nikipigo cha paka shume namshushia mtu online
 
Mkuu naweza kukusearch vip ukiwa on line maana wanakuja wazungu tu wanasumbua sana je unawezaje msech best yako yyt vp?!
 
Asee mimi wananibutua mpka nachanganyikiwa kuna mmoja alinipa10
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sio wewe tu mkuu hata mimi napokea vipigo si mchezo sema kuna muda na mm nawaotea kama hapo juu
 
Ngoja tucheze dream game pendwa
 
Asee mimi wananibutua mpka nachanganyikiwa kuna mmoja alinipa10
Haaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Online Kama huja hack kikosi ni sawa na kazi bure[emoji16][emoji16][emoji16]

Utachezea vichapo mpaka useme po[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi natamba tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…