Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Nililifuta na kurestore simuUlifanyaje ukafanikiwa naletewa huu ujumbe halifunguki
Sijakuelewa mkuuOya me nimedownload logo ya barca ila kila nikidownload jez za barca zinakuja bila logo haionekani kabisa me nakosea wap watu wangu?
Soma MAELEZO vizuri ya jinsi ya kucopy na kupaste DLS18 kit & LOGO at www.kuchalana.comOya me nimedownload logo ya barca ila kila nikidownload jez za barca zinakuja bila logo haionekani kabisa me nakosea wap watu wangu?
Hili ni lipi?
Fwe 2018 kila kitu real pitch,graphics n.k.
Vipi mkuu ulifanikishaHili ni lipi?
Sijafanikisha kabisaa.Vipi mkuu ulifanikisha
Unatumia simu aina ipi mdadaSijafanikisha kabisaa.
Njoo nikurekebishie kama uko jijini darSijafanikisha kabisaa.
Samsung Note 3Njoo nikurekebishie kama uko jijini dar
NB: msaada!
NajaNjoo nikurekebishie kama uko jijini dar
NB: msaada!
PoaNaja
Hiyo ni wewe tu mkuu mbona sisi yapo freshkudadeki hii kwangu imekuaje mbona wenge la kutosha dls18 hapana aiseeeh warudishe tu features za dls 17
Mkuu unatumia Tecno werevaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]kudadeki hii kwangu imekuaje mbona wenge la kutosha dls18 hapana aiseeeh warudishe tu features za dls 17
Mm natumia tecno pia na naicheza fresh tu acha wenge kaka,na vifikra vya topeMkuu unatumia Tecno werevaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Baraka natumia infinix ,mimi game moja linakua na rangi hiyo next match inakua poaMkuu unatumia Tecno werevaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Acha ukolomijeMkuu unatumia Tecno werevaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]