Apk ya Dream League soccer 2017

mkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Nimelipakuwa lakin haliplay mkuu. Nikijaribu naambiwa Kuna additionals nizidownload but data iko on najaribu kudownload hizo additionals inagoma
 
Nimelipakuwa lakin haliplay mkuu. Nikijaribu naambiwa Kuna additionals nizidownload but data iko on najaribu kudownload hizo additionals inagoma
usifungue data after exctrating
kwa kutumia ZArchiver
kuna files unatakiwa uzihamishe kutoka exctracted files kwenda android kama ifuatavyo

then kuna file nyingine unatakiwa ucut ukapaste kwenye files ya obb

file ambayo unaenda kuipaste kwenye obb hakikisha ina kitu hii

angalizo sifungue data
Nimelipakuwa lakin haliplay mkuu. Nikijaribu naambiwa Kuna additionals nizidownload but data iko on najaribu kudownload hizo additionals inagoma
usifungue data after exctrating
kwa kutumia ZArchiver
kuna files unatakiwa uzihamishe kutoka exctracted files kwenda android
 
Nimeinstall game hilo ila sikupenda wachezaji wana mahereni halafu sura zao hazifananii na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…