Mkuu mm nimekwama mwishon,hainiletei neno install au unstall ,linakuja neno go to file na OK,ila nikirud nyuma nikinunua coin inanipeleka mpka kweny play store,msaada wako plzNimejaribu kusummarize maelezo kwa kiasi chake.
Utapokwama niambie
Asante ngoja tujarib
Ikikuletea hiyo GO TO FILE ifungue,kisha installMkuu mm nimekwama mwishon,hainiletei neno install au unstall ,linakuja neno go to file na OK,ila nikirud nyuma nikinunua coin inanipeleka mpka kweny play store,msaada wako plz
Update tayar,baada ya hapoIkikuletea hiyo GO TO FILE ifungue,kisha install
Ukiinstall itakuambia uupdate,update tu
Yes,nimekutana na neno install na install as app system, nitumie IP hapoIkikuletea hiyo GO TO FILE ifungue,kisha install
Ukiinstall itakuambia uupdate,update tu
OK,thereafter nirud kweny app ya DLS niifungue ninunue coin?Install
cheza multiplayer mkuu naon 00 tu hapo fanya kujarbu na hyo
lina apk yake wameimod kwanini usieke hio kila kitu unlimited.
unakuwa hueki game kupitia playstore, unainstall apk na data online then unapoanza game kila kitu umefanyiwa, mfano hii ina god mode unakuwa invicible hata usimame mbele ya adui akikushoot hufiUnaeka kwa kutumia nini, nielekeze
unakuwa hueki game kupitia playstore, unainstall apk na data online then unapoanza game kila kitu umefanyiwa, mfano hii ina god mode unakuwa invicible hata usimame mbele ya adui akikushoot hufi
Modern Combat 5 Blackout apk full v2.5.1a + data + mod
unakuwa hueki game kupitia playstore, unainstall apk na data online then unapoanza game kila kitu umefanyiwa, mfano hii ina god mode unakuwa invicible hata usimame mbele ya adui akikushoot hufi
Modern Combat 5 Blackout apk full v2.5.1a + data + mod
umedownload apk ya kawaida au mod apk?Mkuu nimedownload lakini mbona bado nakufa mbele ya adui
unagoogle tu mkuu jina la game mbele ongeza neno mod apkNashukuru, sasa hizi unayoa wapi ili niweze kupata games nyingine nazopenda
umedownload apk ya kawaida au mod apk?
unagoogle tu mkuu jina la game mbele ongeza neno mod apk
sio kila mod hufi mkuu, maana ya mod ni kuwa wameli modify game na kuongeza mambo fulani, wanaweza wakaeka ublimited coins, au health au wakabadili soundtrack etcMfano hata hilo bado nakufa kwa adui hiyo ni modern warplanes
sio kila mod hufi mkuu, maana ya mod ni kuwa wameli modify game na kuongeza mambo fulani, wanaweza wakaeka ublimited coins, au health au wakabadili soundtrack etc