Apk ya Dream League soccer 2017

ukiroot unacheat tu na app kama gameguardian ila kama hujaroot inabidi udownload upya au udownload saved file ya mwenzako
ila kote kote siinapatikana na ninaweza kuplay endapo simu ikiwa rooted ama ikiwa haijaroot naomba unifafanulie mkuu
 
Ukifika tier 1 nitafute...mie ndio nahangaika nalo huko
Msaada link ambayo naweza kupata pes 2017 patch v 6
 
Mkuu ebu msaada kidogo jinsi ya kupata hizo game za psp mimi nimeinstall software ya psp ila kushusha magame yake ndo tatizo
Kuna gruuup la wasap nipo mkuu kuna vijana humo ni hatari wanajua jinsi yakuelekeza na mpka ukafanikiwa upande wangu mkuu siwezi maana sio mtaaalamu sana labda kama unahitaj nikupe namba za admin mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…