Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Image tafadharii
Leta mada sasaOyoiooooiiii wana dream league soccer 17.......
Ntaleta maada ya ;
-kuweka jezi za timu unayoipenda kwa timu yako ya DLS17
-kuchange LOGO ya timu yako uweke unayoipenda.
Enjoy!!!!!!
Poa poaLeta mada sasa
Hii nimeshafanyaOyoiooooiiii wana dream league soccer 17.......
Ntaleta maada ya ;
-kuweka jezi za timu unayoipenda kwa timu yako ya DLS17
-kuchange LOGO ya timu yako uweke unayoipenda.
Enjoy!!!!!!
Hahhahaaaaa haujasaidiwa kucheza kweli[emoji12] [emoji12]N imefika elite Bila kuchakachua
Hongera sanaN imefika elite Bila kuchakachua
Nami najikongoja nitafika nimejizuia kuchakachua raha ya kupanda ngazi uanze mdogo mdogoN imefika elite Bila kuchakachua
Hii alifunga goals 10 pekee ake
Bt ya 17-0 alifunga junior elite Bt sikupiga screen shoot