Apk ya Dream League soccer 2017

Barcelona kaninyima ubingwa wa elite division tuligongana points kanizidi magoli[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Mi nimemaliza kila kitu kuanzia uwanja nyasi idad ya watu mpaka wachezaji na jezi... now nina point 10000 cjui hata nazifanyia nin....

Vip hakuna sehemu zngine nizitie wadau ... au kuna game gani ingine classic ya android football ngumu ngumu kidgo
 
Tupia screenshot tuone
 
Njoo nimalize kukuelekeza leo lazima uchakachue coins, rudi pale nilipo kuelekeza mwanzo utaona nimefanya mabadiliko na picha nikaweka mkuu lengo ufurahie uchakachuaji wa coins
Mkuu inaniletea hivi nahofia nikidownload tena hizo additional si zitakuwa ndo ile ile ya mwanzo niliyoitoa? not cracked
 
Mkuu inaniletea hivi nahofia nikidownload tena hizo additional si zitakuwa ndo ile ile ya mwanzo niliyoitoa? not cracked
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] acha kupenda vya bureee,huko kuangaika saizi ungekua mbali sana.....
 
Mie Sina mbwembwe nimeuza wachezaji wote wazungu,nmenunua blacks watupu

Sipendagi ujinga mm.
 
Kweli mkuu hapa najuta nimejikuta nimefuta ile ya mwanzo nilikuwa nipo mbali kishenzi
Kuna jamaaa nipo nae huku,alikua na ma coin ya kutosha hakua anachakachua alikua mbaliii knoma,kwa hili la 2017 DLS nahisi wameriboresha zaidi jamaa hadi saizi anabakii kulalamika tu bora asingechakachua [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] ,wengi wanalalamika linazingua ukishachakachua.
 
Dahh kweli vya bure gharama.
Sijui hata naanzaje tena kufika level niliyokuwa. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu inaniletea hivi nahofia nikidownload tena hizo additional si zitakuwa ndo ile ile ya mwanzo niliyoitoa? not cracked
Njoo pm nikupe namba ya whatsap nikuelekeze taratibu kwa screen shots,usiambiwe utamu ukiwa na coins za kutosha ni mwendo wa kubadilisha tu wachezaji unao wataka nina coins laki moja kwa sasa na nimesha fika mbali sana,raha ya hili game ucheze kwa count attack uone wakina mess,ronald,sanchez wanavyofunga magoli matamu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…