Apk ya Dream League soccer 2017

Nmelidownload mkuu na nimecheza kama game mbili ili nkimaliza hii process ndo linakuwa halifunguki kbs
Unatakiwa usikilize maelezo,downlod game halafu nenda obb kaangalie kama folder lipo usifanye chochote nenda kwenye lucky patcher,chakachua,fika mpaka kwenye option ya go to file and okey bonyeza okey,then toka hapo rudi kwenye obb uta cut na paste hilo folder litakua limeshachakachuliwa then ukisha paste sehemu,nenda setting-app unstall hilo game,ukitoka hapo nenda sehemu ulipo paste game then rudisha kwenye obb then install pitia hizo detals ambazo zipo kwenye hilo folder,umenisoma over
 
Thanks mkuu ngoja nijaribu mara ya mwisho
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] mi naenda kumtungua Barcelona now.
 
View attachment 507084 mkuu usipende kuropoka vitu ambavyo hauna uhakika navyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa wewe upo division 3 Mimi nipo ELITE DIVISION utavionea vitumi hivyo hivyo wenzio twapetaaa
Utasubiri Sanaa mkuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 



Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…