Apk ya Dream League soccer 2017

Ukiclick ok inakata bas hakuna kinachoendelea
Ukimaliza hapo kwenye oke rudi nenda katafute file manager ili uka cut folder pale obb na ku paste folder sehemu nyingine,
 
Hebu niambie mkuu nalipataje hili game?
ingia play store andika pes club manager utaletewa lenywe lina cover ya dortimund but note unatakiwa uwe na mb za kutosha na space katika simu yako maana lina mb891...then utachagua captain baada ya hapo utacreate timu yako na kuanza ligi huku uki upgrade vitu kama scout house club house fan's house stadium na nk yaan un short lipo reality tupu na players wanashuka viwango wakianza kuzeeka mwishowe wanastaafu sio kama dls wenyw ukimsajili lukaku unacheza naye mpaka unachoka alafu facilities wanayo moja tu stadium
 
the way how you upgrade the better chance of getting players who have big names increased in market and scout list
 
Safi mkuu,vip hivii hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au ni unapanga kikosi thenu linacheza linatoa matokeo, halipo mithili ya TOP ELEVEN
 
Safi mkuu,vipi hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au unaache linacheza linatoa matokeo halipo kama TOP ELEVEN
hili huchezeshi hili linataka kufanana na top eleven but hili kuna 3d na 2d kule kuna 2d only...unapanga kikosi then unakuwa unaplay season kuna mech 18 ukimaliza season kabla hujaanza seasom mpya scout anakuleatea list ya world players ambapo utasajili kutokana na mahitaji yako
 
Safi mkuu,vip hivii hili game unaingia ground kabisa na unachezesha wachezaji au ni unapanga kikosi thenu linacheza linatoa matokeo, halipo mithili ya TOP ELEVEN
mkuu huo ndo mji wangu nipo professional 3
 
Ukimaliza hapo kwenye oke rudi nenda katafute file manager ili uka cut folder pale obb na ku paste folder sehemu nyingine,
Tayari mkuu nijuze kinachoendelea
 
Tayari mkuu nijuze kinachoendelea
Ume cut na kupeleka kwenye folder lingine,sasa nenda ka unstall lile game ulilo install,halafu rudi pale ulipo paste lile folder la DSL karudishe lile file kwenye obb na install hapo hapo then kalifungue
 
Maelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,
 
Maelezo yako nimeyaelewa ila nilifikia pale ktk file la obb nikilifungua nakuta lipo tupu yaan empty,

Nahisi hili suala la hayo mafaili yaliyogoma ndio tatizo au inakuwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…