Apigwa Risasi Baada Uume wake Kudhaniwa ni Bastola

Hao sijawapitia...japo nishawahi date na mpemba muuza bucha.
Tatizo lenu wapemba tukishalala usingizi, hamkawii kutugeuza samaki.
Nililala nae jicho moja liko wazi, nisije tatuliwa rinda bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!We kweli kiboko.
 
Bora sisi tuna Vibamia... Tutakivuka hicho kiunzi cha Kupigwa risasi
 
Standard Digital Entertainment inamilikiwa na kampuni ya standard group ambao wanamiliki kituo cha tv KTN na gazeti ya standard huko kenya.
Kama ni fake news vyombo vya habari zote ni fake.
haijalishi inamilikiwa na nani huo mtandao ni wa entertainment na iyo habari ni satirical au kichekesho sio ya kweli. wewe umekurupuka na kuileta huku ukijua ni ukweli. au ulijua sio ya kweli ila umeamua tu kuileta humu ili watu waseme wazungu ni wabaguzi. kama habari ya kweli weka source kutoka USA sio kenya. hivi inawezekana kitu kitokee tanzania halafu vyombo vya habari vyetu hapa tz havina taarifa ila ki website cha udaku cha USA ndio kipate taarifa?
 
Unaamini wazungu sio wabaguzi ?
 
Unaamini wazungu sio wabaguzi ?
majority yao sio wabaguzi. wewe kuweka habari za uongo kuhusu wazungu ina prove hilo. kama wazungu ni wabaguzi ilikua haina haja ya kuweka habari za uzushi, ungeweka za ukweli tu.
 
Wanaume tumeumbiwa tamaa. Nakumbuka siku moja nikiwa chuo tumepanda daladala hii tabia ya dad zetu wa chuo kuvaa nusu uchi alipanda jamaa fln sit zikiwa zimejaa ikamlazimu asimame. Pembeni palikua na dada yupo nusu uchi kweli Mungu kamuumba. Jamaa alitunisha zigo hatar dada kuona vile akapiga kelele kuuuubwa abiria tukahamaku duuuuuuu jamaa alikua kidume. Huenda dogo alikutana na mazingira tatanushi kama hayo hapo bank nae ana hisia mseselo ukatuna kama ilivyo kawaida yetu mabaya yakamkuta. Hata madada wa banks huvaa nusu uchi hata wake za watu. Mungu amponye huyu kijana.
[emoji23] nimecheka sana huyo dada aliyepiga kelele. Nini kiliendelea baada ya hapo mkuu
 
majority yao sio wabaguzi. wewe kuweka habari za uongo kuhusu wazungu ina prove hilo. kama wazungu ni wabaguzi ilikua haina haja ya kuweka habari za uzushi, ungeweka za ukweli tu.
Waulize Standard Group Kenya kwanini wametoa hiyo article badala ya kulaumu nonsense
 
Hakuna kitu.
Kuna baadhi ya makabila mnaongoza kwa vibamia.
1. Wachaga, wanajua kutafuta pesa tu...huko kwingine watupu
2. Wahehe, hakuna kitu.
3. Wapare, ndo kabisaaaa hamna kitu....wako flati
4. Warangi, hawa unaweza mpapasa ukajua uko na demu mwenzio.

Ila
Waha
Wajaluo
Wakurya
Wasukuma
Wanyamwezi
Hawa wana mishedede ya nguvu hadi unaililia.

Huu ni utafiti wangu katika kuingiliana nao kotekote.
Sitaki povu...povu kafulieni nguo zenu mlizochezea Idd jana.
Naona bado kuna nafasi ya mhaya ipo wazi,naomba tuonane kesho basi unithaminishe
 
Hakuna kitu.
Kuna baadhi ya makabila mnaongoza kwa vibamia.
1. Wachaga, wanajua kutafuta pesa tu...huko kwingine watupu
2. Wahehe, hakuna kitu.
3. Wapare, ndo kabisaaaa hamna kitu....wako flati
4. Warangi, hawa unaweza mpapasa ukajua uko na demu mwenzio.

Ila
Waha
Wajaluo
Wakurya
Wasukuma
Wanyamwezi
Hawa wana mishedede ya nguvu hadi unaililia.

Huu ni utafiti wangu katika kuingiliana nao kotekote.
Sitaki povu...povu kafulieni nguo zenu mlizochezea Idd jana.

Haya maneno kwenye red kidogo yana ukakasi hebu tusaidie kidogo
 
Hakuna kitu.
Kuna baadhi ya makabila mnaongoza kwa vibamia.
1. Wachaga, wanajua kutafuta pesa tu...huko kwingine watupu
2. Wahehe, hakuna kitu.
3. Wapare, ndo kabisaaaa hamna kitu....wako flati
4. Warangi, hawa unaweza mpapasa ukajua uko na demu mwenzio.

Ila
Waha
Wajaluo
Wakurya
Wasukuma
Wanyamwezi
Hawa wana mishedede ya nguvu hadi unaililia.

Huu ni utafiti wangu katika kuingiliana nao kotekote.
Sitaki povu...povu kafulieni nguo zenu mlizochezea Idd jana.
We mtafiti ni hatari sana,....
Ila Usiseme tu ya mwenzio ndogo, uskute labda yako ndo kubwa.....!
 
Sipati picha ninhekuwa mimi ndio huyo kijana, nahisi wangeniua kabisa, maana wangehisi nimebeba shotgun[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom