Apigwa Risasi Baada Uume wake Kudhaniwa ni Bastola

Tatizo kiingereza kinawapa taabu nenda kwenye Google andika Penis Mistaken for a Pistol and then uone ni vyombo vingapi duniani zime cover hiyo news.
Ni dharau tu unazo, mtanzania kiingereza nakifahamu vizuri, ndiyo lugha natumia kila siku. Na ku-google pia najua vizuri ni part of my job. Nimeweka keywords ulizosema hapo, hiyo story imeandikwa kwenye link hizi

Boy clobbered after erect penis mistaken for pistol
Cops beat up teen after bank teller mistakes his erection for a pistol
https://edaily.co.ke/entertainment/...ction-is-mistaken-for-gun-127367/crazy-world/

Yaani site zote ni za udaku, habari ya muhimu kama hiyo uikose kwenye sources kama BBC, CNN??
Sasa na kukuonyesha kua mi si mjinga kama wewe nimerun image search ili kujua hiyo picha waliitoa wapi.

Tafuta story ya mtu anaitwa Jordan Miles, alipigwa na polisi akiwa kwenye stand on trial. Wameiba picha pale wakafoji story kwa sababu wajinga kama wewe mnapenda sana kuzisoma, wao wanapiga hela. Story za uongo zinasambaa kwa speed sana.

Kama huamini ingia google andika Jordan Miles, utapata habari zote, hadi video inayoonyesha picha hiyohiyo na video kabisa ya kilichomtokea jamaa. Next time be smart, sio unakurupuka tu na kupost kila kitu. Hata swala la TBC kua Trump kampongeza Magufuli walitoa kwenye website moja ya kijinga ambayo mbongo alienda akakaa akapost akapiga hela watu mliifungua site ka hamna akili nzuri, tunawaambia hapa kua hamna proof mnakuja kutupa link ambazo hata hazijulikani zimeandikwa na nani. Nikitaka kudanganya watanzania nimeshajua cha kufanya, kupost ujinga kwenye link nne tano tofauti alafu naita habari, ili mradi ipo google mtabeba 100% kama ilivyo.
 
Mkuu sio dharau hata hiyo CNN unayodai juzi walikuwa na Russia Fake news. Hakuna mtu anataka kuweka fake news hapa. It means we are living in the world of Fake News therefore usijaribu ku under rate mada za watu cause you know everything
 
Mkuu sio dharau hata hiyo CNN unayodai juzi walikuwa na Russia Fake news. Hakuna mtu anataka kuweka fake news hapa. Kama ni part of job usijaribu ku under rate mada za watu cause you know everything

Sio ushindani huu, nakwambia kua makini na unachopost, sasa mada unataka tuikubali hata kama ni ya uongo?
Leo ni hii, yaweza kua haina msingi wowote zaidi ya kuongeza chuki mioyoni mwa watanzania maana wengi racists wanachukia wazungu sijui waliwafanyeje. Ipo siku utakuja na story ambayo itakua more important kuliko hii.

Ni vizuri ujifunze kua sio kila kitu ilimradi kinapatikana google basi ni cha kweli, 80% ya mambo yaliyopo online ni uongo kwa taarifa yako.
 
Afadhali tuhamie kwenda planet ya Jupiter tukapate really news cause if in this planet 80% online ni fake news
 
Ni dharau tu unazo, mtanzania kiingereza nakifahamu vizuri, ndiyo lugha natumia kila siku. Na ku-google pia najua vizuri ni part of my job. Nimeweka keywords ulizosema hapo, hiyo story imeandikwa kwenye link hizi

Boy clobbered after erect penis mistaken for pistol
Cops beat up teen after bank teller mistakes his erection for a pistol
https://edaily.co.ke/entertainment/...ction-is-mistaken-for-gun-127367/crazy-world/

Yaani site zote ni za udaku, habari ya muhimu kama hiyo uikose kwenye sources kama BBC, CNN??
Sasa na kukuonyesha kua mi si mjinga kama wewe nimerun image search ili kujua hiyo picha waliitoa wapi.

Tafuta story ya mtu anaitwa Jordan Miles, alipigwa na polisi akiwa kwenye stand on trial. Wameiba picha pale wakafoji story kwa sababu wajinga kama wewe mnapenda sana kuzisoma, wao wanapiga hela. Story za uongo zinasambaa kwa speed sana.

Kama huamini ingia google andika Jordan Miles, utapata habari zote, hadi video inayoonyesha picha hiyohiyo na video kabisa ya kilichomtokea jamaa. Next time be smart, sio unakurupuka tu na kupost kila kitu. Hata swala la TBC kua Trump kampongeza Magufuli walitoa kwenye website moja ya kijinga ambayo mbongo alienda akakaa akapost akapiga hela watu mliifungua site ka hamna akili nzuri, tunawaambia hapa kua hamna proof mnakuja kutupa link ambazo hata hazijulikani zimeandikwa na nani. Nikitaka kudanganya watanzania nimeshajua cha kufanya, kupost ujinga kwenye link nne tano tofauti alafu naita habari, ili mradi ipo google mtabeba 100% kama ilivyo.
You better apply for a job kwenye kampuni ya Google as Fake news filter officer.
 
source: Entertainment News- SDE.
habari ni ya kijana mweusi kupigwa risasi na polisi nchini USA wewe source yako ni website ya burudani kutoka kenya. hiyo website top story yao ni habari za daimond na zari wewe unaona ni serious news website?
 
You better apply for a job kwenye kampuni ya Google as Fake news filter officer.
Mkuu hivi bado una shida na mimi tu?
Naona umeumia sana baada ya kukukamata unapost uongo. Umenireply mara mbili nipo kimya, maana yake sitaki kuendelea na kelele hizi. Niombe kazi Google ya nini? nina kazi yangu tayari inanilipa vizuri kuliko mshahara ambao ningelipwa google. Usibadilishe hili swala kua personal, kubali ulichofanya kaa kimya. Quit your whining.
 
Duh!!!Hivi kwa nini tusifahamiane ili uweze kujua na sisi washirazi wa pemba tukoje kwenye kutoa dahawa.
Hao sijawapitia...japo nishawahi date na mpemba muuza bucha.
Tatizo lenu wapemba tukishalala usingizi, hamkawii kutugeuza samaki.
Nililala nae jicho moja liko wazi, nisije tatuliwa rinda bure
 
Mkuu hivi bado una shida na mimi tu?
Naona umeumia sana baada ya kukukamata unapost uongo. Umenireply mara mbili nipo kimya, maana yake sitaki kuendelea na kelele hizi. Niombe kazi Google ya nini? nina kazi yangu tayari inanilipa vizuri kuliko mshahara ambao ningelipwa google. Usibadilishe hili swala kua personal, kubali ulichofanya kaa kimya. Quit your whining.
Unaposema umenikamata nime post uongo una maana mie ndio nime create huu uongo? Inabidii uombe management ya Jamii Forums wakuweke kwenye idara ya kuchuja comments za watu. Unaposema hiyo post inaleta chuki unamaana gani, hiyo chuki inatoka wapi. Wewe ndio unatakiwa ukae kimya instead of serving hao watu weupe unaowaabudu.
 
Haya nimekublock, naona we jamaa ni mbishi balaa. Nenda kabishane na redio aisee.
 
habari ni ya kijana mweusi kupigwa risasi na polisi nchini USA wewe source yako ni website ya burudani kutoka kenya. hiyo website top story yao ni habari za daimond na zari wewe unaona ni serious news website?
Standard Digital Entertainment inamilikiwa na kampuni ya standard group ambao wanamiliki kituo cha tv KTN na gazeti ya standard huko kenya.
Kama ni fake news vyombo vya habari zote ni fake.
 
Duh! Muhogo wa Jang'ombe umemponza huyu! Ishakuwa shida kuwa na muhogo wa Jang'ombe.

View attachment 531310 Kijana mwenye umri wa miaka 17 yuko mahututi huko Dertoit Medical Center huko Marekani baada ya kushambuliwa na Polisi akidhaniwa ni jambazi. Kijana huyo alikuwa Benki ndipo uume ulivyokuwa mkubwa na kuvimba kwenye suruali ulimfanya cashier kudhani kijana huyo ameficha bastola kwenye Suruali yake akidhamiria kufanya ujambazi ndipo cashier alipiga kingo'ra cha tahadhari ndipo Polisi walipomvamia na kumpiga risasi kijana huyo.
Kijana huyo mweusi kwa jina Jamal Freeman amelazwa hospitali na hali yake sio nzuri, mama mzazi wa Jamal amesema mtoto wake alipigwa risasi kwasababu ya kibaguzi kwani angekuwa mzungu mweupe asingefanyiwa hivyo. mama huyo alidai watu wenye asili ya waafrika wengi huwa wana umbile kubwa kwahiyo hiyo isije ikawa sababu ya kupigwa risasi.
source: Entertainment News- SDE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom