Apewe hongera mgunduzi wa PM

Mambo mengi ambayo hayafai kuwekwa hadharani kwenye jukwaa yanazungumzwa kwenye PM.Binafsi imenisaidia sana.Na ndio maana kuna sheria hapa JF inakataza PM kuwekwa hadharani.True ndugu yangu PM is the greatest facility here at JF. Na by the way, hakuna mtu tofauti aliyegundua PM, ila ni programmers haohao wa software hii ya Forum; vbulletin.
 
PM imeniunganisha na nshomile wenzangu,,,daaah asante saaana PM jamani
 
Pm imenipatia kiwanja cha maana kwa bei ya kutupa eneo la Bunju. Sikuamini kwa kweli mpaka siku tulipoandikishiana mbele ya mamlaka husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…