APC UPS

APC UPS

Nimepima battery zipo zero.something .
Wasiwasi wangu ni kwaninihitaki hta kuonyesha power inaingia unapoconnect kwenye umeme
Hivyo vitu navijua vizuri, kama ilikua haina hitilafu but ikaachwa mda mrefu bila kutumika, ujue betri yake imekufa na nikwambie ups unapo connect kwenye umeme yenyewe kabla ya kuwasha taa yoyote cha kwanza ina sense/detect kama betri ipo na ni nzima? Ndipo inaruhusu umeme uanze mzunguko wake.

Kwahiyo anza na hilo Pima betri yawezekana zikawa ni totally discharged.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashukuruni kwa mawazo yenu wote mliochangia, nilifanikiwa kununua batteries mpya na kuweka ikafanikiwa na sasa naitumia vizuri tu, changamoto ni moja tu kama mnaweza kunisaidia, ni kwamba kama sijaiconnect kwenye AC outlet haiwaki ila nikiwa nimeiconnect halafu umeme ukikata inaendelea kuwa online, so inawekana kuiwasha pasipo kuwa connected kwenye AC maana sidhani kama ni tatizo naona ni system yenyewe imeundwa hivyo, ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom