Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Miaka 9 kwenye ndoaWana umri gani?
Ingawa tunajua huyo mume ni wewe
Hapo wewe utashuka na ipi?Ampe kazi au taraka
Kaa mbali na ndoa za watu mkuu hioo n cancerKuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Hahahah dah mimi sina mkeKwa kuwa tumeshatambua mume ni wewe...
Ninakushauri umpe talaka au mpe ajira yenye.mshahara au.taaluma aliyonayo mkeo.
Private companyAjira ya wapi kwanza...??
Mwanao akikuomba ushauri utamjibu vipiKaa mbali na ndoa za watu mkuu hioo n cancer
Siri wanazijua wenyeweee hapa umekuja na Uzi WA talaka wakifika Baraza wanaungana kama sio waoo
Hapo mke yupo sahihi sio? Anataka kujiondoa kwenye manyanyasoUkimnyanyasa mke wakati Hana kazi, unakuwa unamfundisha namna ya kuishi akipata kazi
Jamaa anamjua mkewe tabia zake uwenda anamlindaMwache aajiliwe tu mkuu
Hapo mke yupo sahihi sio? Anataka kujiondoa kwenye manyanyaso
Tabia zipi Tena mkuuJamaa anamjua mkewe tabia zake uwenda anamlinda
Taraka chapHapo wewe utashuka na ipi?
Au Alitakiwa awe anajiweka mstari wa mbele kumsaidia kuomba kazi halafu anawahi mbele kuleee kuongea na mabosi kuwa oyaa hiyo kazi asipateee. Kisha anarudi kusikitika na mkewe. Muhimu kuhudhuria vikao.