Aolewa akiwa na miaka 60

Itakua waliishi pamoja ndio wakaamua bariki ndoa au wote wameshapoteza wenza wao(wa ujanani)
 
Sasa ukiolewa wakat unachukua pensheni kuna raha gani?!


Mashine yenyewe inakuwa out of order
Ndiyo tatizo la kutojuaa haswa nini maana na misingi ya ndoa mkuu ndoa si mashine mkuu ingekuwa hivyo watu wasingekuwa wanafikisha miaka hamsini ya ndoa zao
 
Halafu utaweza kumzalia huyo mumue ukiwa na miaka 70? Acheni kulisha upepo wakati ulio kubalika ni sasa kesho siyo yako
Umri huo watoto alionao mwanaume au kama wote mmezaa hamuhitaji kuzaa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…