U uhurubado JF-Expert Member Joined Mar 25, 2007 Posts 929 Reaction score 1,085 Oct 12, 2021 #81 Huu uzi naona kimya sana. Mabingwa endeleeni kutugawia maujuzi.
Forest Hill JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 2,873 Reaction score 6,900 Oct 13, 2021 #82 Ndugu zangu Nani anifundishe draft??nafungwa kama mtoto
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 13, 2021 #83 Yani draft Nisha kuwa kilaza jumla
Fredymbuya New Member Joined Feb 2, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Feb 2, 2022 #84 Ivi ukiijua ngoma ya mejor yotee, je kun aina yingine ya mchez ambay itakupa ugumu wakuto shind??
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,477 Reaction score 43,453 Feb 13, 2023 #85 Mabingwa mpo.
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,879 Reaction score 7,776 Aug 28, 2026 #86 Nani anataka kichapo muda huu. Aingie hapa kisha nimpe ID yangu nimpasue. PlayOK - Play Tanzanian Draughts Online Free, TZ draughts playok.com
Nani anataka kichapo muda huu. Aingie hapa kisha nimpe ID yangu nimpasue. PlayOK - Play Tanzanian Draughts Online Free, TZ draughts playok.com
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,904 Reaction score 8,990 Aug 28, 2026 #87 Red Giant said: Ila ma IT wetu nao wamezubaa sana. Walitakiwa watengeneze Draft lenye rules za kitanzania tuwe tunashughulikiana online. Click to expand... Dalmax lipo sema huwezi cheza online ila linaruhusu mkiwa wawili mnacheza kwa bluetooh so lazima muwe karibu pia
Red Giant said: Ila ma IT wetu nao wamezubaa sana. Walitakiwa watengeneze Draft lenye rules za kitanzania tuwe tunashughulikiana online. Click to expand... Dalmax lipo sema huwezi cheza online ila linaruhusu mkiwa wawili mnacheza kwa bluetooh so lazima muwe karibu pia