Anywa sumu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anywa sumu..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pure Mathematics, Apr 12, 2012.

 1. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Binti ameripotiwa na magazeti ya leo kunywa sumu ya panya na kunusurika kifo kwa sababu ya kifo cha Kanumba, lol! Nyie kina dada, hii ni akili au matope? Hata kama nae angekua "hawara" wa SK, kunywa sumu ndo atamrudisha? Kweli wanawake 40 ni sawa na mwanaume mmoja!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Huyo kajichokea na maisha tu.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Attention seeker. . .

  Mbona sasa alijiweka katika mazingira ya kuokolewa? Wanaotaka kujiua hua hawaachi mwanya.
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  duuu , kaazi kweli kweli , hawa viumbe( wa female ) kwa mbwembwe ni kwere , anyway all those make the world go round ,
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Binti gani huyo! Wengine bado tuko vitandani mwetu.
   
 6. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tangu uzimie juzi hujazinduka?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Namshukuru sana Mungu kwa kuniumba mwanaume.....
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanaume alijikata sehem Zake za siri
  na kuzituma kwa wanawake wawili walokua wakimgombania.should we condemn all men for that?
   
 9. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Anadhani kunandoa kuzimu huyo! sorry 4 her...
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hua ni kawaida yangu kukazia hukumu ya semi za kimsingi !
  "40 wanawake equal 1 mwanaume"
  semi zenye ukweli uliokubuhu kama hii siwezi kuicha ipite ikiwa sijaiunga mkono!
  Kwa hili umenena namtaka kwa hamu sana atakaebisha nimshughulikie !
  Wewe unaepita hapa na una hamu ya KUSHUGHULIKIWA bisha sasa!
   
 11. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tell me about it!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kuongezeka kwa waganga wa nguvu za magimbi Dar, ina maana wanamme wote wa Dar hawana magimbi?
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Inasemekana huyo dada aliyekunywa sumu biashara yake ni kukodisha filamu za kibongo na filamu zilizokuwa zinamlipa ni za Kanumba.
  So hata kama Kanumba asingekufa lakini angetangaza tu kuwa ameacha kuigiza, huyo dada bado angebwia sumu.
   
 14. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hana lolote alitaka aandikwe magazetini tu.
   
Loading...