Anywa sumu baada ya kunyimwa Penzi

Anywa sumu baada ya kunyimwa Penzi

"Ndugu zangu mimi mwenzenu ninatatizo la kupoteza fahamu kila ninapomkumbuka mpenzi wangu hivyo si mara ya kwanza kuanguka ni mara nyingi nikimuwazo Tunu huwa nazimia"

umeona nukuu hiyo mama lao?
hahahaaaa!azimie tu ipo siku atapitiliza mazima amuache tunu anakula maisha!
 
kwa alicho kipata sidhani kama atarudia tena na akipona sheria inachukua mkondo wake hapo

hawezi kurudia hapo yenyewe atakua anamsifu mungu kwa kunusurika,kifo cha kulazimisha ni balaa!kifo kizuri ni kile mungu alichokuandikia bna!
 
Haka ka sharobaro kanatafuta umaarufu kip*uuzi kabisa.... wangekaacha mpaka kajinyee ndo wakasaidie!!!
 
akome na akomae,mtt wa mwanaume mwenzie asababishe atake kujitoa roho?c ubwege huo!
 
angekufa kwenye mazishi wangesema mungu amempenda zaidi,kumbe sumu ndio ingempenda
 
Back
Top Bottom