Anything but...

Anything but...

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
14,431
Reaction score
30,994
Wanawake watafanya kila kitu kupunguza uzito from kushinda njaa siku nzima, kujibana na waist trainers, to taking fat burners (madawa) nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.

Kadhalika wanaume nao wanafanya kila kitu kuongeza nguvu za kiume sijui vumbi la Congo, mchuzi wa pweza, konyagi+redbull nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.

Nitoe rai watu mzingatie diet na kufanya mazoezi kwani ni mujaribu wa matatizo mengi ya kiafya badala ya kuingia gharama zisizo na msingi na kufanya mambo ambayo side effects zake zinaweza kuwa costly kuliko diet and exercises.
 
Wanawake watafanya kila kitu ili kupunguza uzito from kushinda njaa siku nzima, kujibana na waist trainers, to taking fat burners (madawa) nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.

Kadhalika wanaume nao wanafanya kila kitu kuongeza nguvu za kiume sijui vumbi la Congo, mchuzi wa pweza, konyagi+redbull nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.

Nitoe rai watu mzingatie diet na kufanya mazoezi kwani ni mujaribu wa matatizo mengi ya kiafya badala ya kuingia gharama zisizo na msingi na kufanya mambo ambayo side effects zake zinaweza kuwa costly kuliko diet and exercises.

[emoji1490][emoji1490] ulaji mbaya una effects nyingi sana tuamkeee... unakuta mtu anakula kama hatokaa ale tena chaaaa
 
ukizingatia mazoezi hata kama unakula sana, mwili unakuwa poa tu
 
Tuanze mazoezi na kula vizuri, mambo ya kushinda njaa na mimi kutumia mchuzi wa pweza tuyaache [emoji85][emoji87]
Chalii unashindia mchuzi wa pweza na urojo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Na kahawa na kashata.
Acha hiyo tabia. Na mimi huu mkitambi nitajitahidi kula vizuri na kufanya mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio upunguze kitambi hicho sio unasema tu [emoji38]
Kimebaki kidogoo unafikir kula mboga mboga mchezo
IMG-20190202-WA0030.jpeg
 
Hapana mkuu u can't outdo a bad diet. Unaweza usione madhara ya a poor diet sasa hata kama unafanya mazoezi ila eventually madhara yake yataonekana tu.
ukizingatia mazoezi hata kama unakula sana, mwili unakuwa poa tu
 
Back
Top Bottom