Anything but...

Anything but...

siku hizi ukila kwa kufuata diet unaoneka mroho, ukiwa mgegedaji sana unasemwa unapenda ngono, ukiwa mchovu unaitwa kibamia, ukipenda mazoezi unaonekana unapenda sifa, hivi walimwengu tuwafanyie nini ili tuwalizishe!!?[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe ulioshiba. Tufanye tu mazoezi na kula vizuri hakuna njia ya mkato. Short cut is always a wrong cut
 
Kaza mkuu consistency is key.

2014/15 niliwahi kufika uzito wa almost 90kgs. Nilianza mazoezi, nikapunguza vyakula fulani, nikawa nakula mboga za majani sana, nilikuja nikawa very health, nilifikisha 78 kgs.

Sijaweza kurudi kule tena, ila mazoezi ni best health weapon.
 
Mimi najifutukia tu.. Sema nashukuru nafutuka vizuri... Maeneo fulani hivi ndo yanazidi ila kwingine nanawiri kawaida tu..thou sikuhizi katumbo kidooooooooooogoooo kanataka ongeza spidi


Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom