Any job i apreciate it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Any job i apreciate it

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tanui hillary, Jul 16, 2011.

 1. T

  Tanui hillary Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am,kenyan nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na sina hela za kujiendeleza kwa sasa naomba kama kuna kazi yeyote thafathali napatikana
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  dah! kila la kheri. una any idea ni kazi za aina gani na wapi unataka?
   
 3. T

  Tanui hillary Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes any job so long as inaweza kunizaidia coz sijakamilisha masomo zangu ata kama ni nchii za nche ni zawa coz mie niko kenya na wewe uko wapi?
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Rudi umaliza shule kwanza. Ushauri wa bure: chagua lugha moja kati ya Kiingereza na Kiswahili. Halafu jifunze na kuijua kwa ufasaha. Kwa ujuzi wako huo wa kuchang'anya lugha mbili ambazo hata hivyo hakuna hata moja unayoimudu siwezi kukupa kazi hata ya kufagia nyumbani kwangu.
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Soma mkubwa life si mchezo
   
Loading...