Any centre number for free massages

Any centre number for free massages

Ahahaah!! Acha kujitoa fahamu RR.
Kichwa cha thread kinasema massage, nimekuja na number ya 'free massage nimpe', nafika humu nakuta anaongea maswala ya message. ndio maana nimeuliza mkuu... nimekosea?
 
Kichwa cha thread kinasema massage, nimekuja na number ya 'free massage nimpe', nafika humu nakuta anaongea maswala ya message. ndio maana nimeuliza mkuu... nimekosea?

Hiyo namba nipe miye kuna jamaa yangu anahitaji huduma hiyo for free.
 
oya kama unatumia pc google mail aka gmail wanaoffer hio huduma ya free sms. Kama ni simu nenda mjoy.com utapata huduma ya free sms.
 
Dah! Hata sikumbuki mara ya mwisho nilituma sms lini.
 
Hivi haya mambo ya kucheza na centre no. bado watu wanayatumia tu?
 
Back
Top Bottom