Anusurika kushikishwa ukuta baada ya kufumaniwa na mke wa mtu Tandika

Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Ktk ubora wako
Unapenda story kama hizi
 
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Point Mkuu haina haja ya kumbembeleza.

Nina wasiwasi na jamaa takua marioo...analelewa na huyo mwanamke
 
We accept this behaviour but we cant have homosexuality portrayed in our media.
 
Huyo mwenye mke hana akili, Mwanamke kama umemfumania kuna haja gani ya kuendelea naye si uoe Mwanamke mwingine tena chukua under 20 sasa hapo alikuwa anatafuta kesi ya kumuingilia mtu kinyume cha maumbile
Jamaa ana akili sana, ingekuwa mwingine ungesikia kaua au kajeruhi!! Hata huko kumshikisha ukuta inawezekana alikuwa anamtishia maana kama angekuwa serious na hilo swala asingeshimdwa!!

Kama karuhusu mke kwenda nyumbani ngoja tusubirie feedback toka kwenye ndoa yao
 
kwanza mie nashanga sana mwanaume unakodi watu eti wakamfumue marinda njemba anaemega mke wako. wewe unaenda kufumania mwenyewe na ukishafika hapo wewe na jamaa mnamgegeda huyo mke kwa pamoja basi. nakuhakishia mke akirudi home mwenyewe anapaki virago na kuondoka
Wakati mwingine kama unajijua wewe mlaini huna mazoezi kujihami muhimu!! Unaweza kwenda kufumania na jamaa kwa woga akajihami kwa kukupiga so ukawa umeibiwa na kipigo ukala!!

Fumanizi lisikie au ishia kulisoma humu tu kama hivii, wakati ule watu hugeuka wanyama kabisa
 
Mnataka picha kwa faida gani.?umbea tu someni ukiona inakusaidia elimika ukiona haikusaidii achana nayo.ili uje ubikiriwe vizuri
 
Wakuu hii ishu imetokea juzi usiku wa tarehe 12 Julai, bwana mmoja kwa jina la Ramadhani Mkami (34) mkazi wa Tandika Sokoni Usiku wa tarehe 12 Aliponea chupuchupu kushikishwa ukuta baada ya kufumaniwa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni iliyopo maeneo ya Temeke Mikoroshini.

Kwa mujibu Mwanaume aliyemfumania, anaeleza kwamba kwa kipindi kirefu mke wake amekuwa na mienendo isiyokuwa ya kawaida ikiwemo kuchelewa usiku wakati akitoka kazini na kutomheshimu kama mme wake wa ndoa.

Aidha Mwanaume huyo Anasema kuwa kunakipindi ilifika hatua mkewe kumnyima unyumba kwa kipindi kirefu bila sababu. Ndipo jamaa alipoanza kufatilia mienendo ya mke wake Ili kubaini kama kuna mtu anammegea tunda lake, hivyo akaamua kuweka mashushu na kuwapa posho kidogo ili wamtonye endapo watambaini mwizi wake.

Anasema, siku ya tarehe 12 mida ya jioni kama saa moja kasoro hivi, mkewe alimwambia kuwa amepigiwa simu ya ghafla kazini hvyo alihitajika kwenda na hata hivyo ilikuwa si kawaida yake kuingia kazini usiku.

Anasema mida ya saa mbili usiku alipigiwa simu na jamaa mmoja akampasha kuwa mkewe ameonekana maeneo ya temeke mikoroshini katika nyumba ya wageni akiwa na Mtu Asiyemfahamu.

Ndipo jamaa alipoamua kukodi njemba kama tatu hivi na kwenda moja kwa moja kwenye ile nyumba ya wageni aliyoelekezwa, kufungua chumba tu akamkuta mkewe aliyemuaga mda mfupi kuwa anaenda kazini yupo kifuani kwa mwanaume mwingine.

Jamaa hakutaka kuongea na mkewe ye alimwambia nenda myumbani, mkewe akakimbia chumbani akabaki mgoni, mavi yakawa yanagonga chupi. Jamaa akamwambia mke wangu hajanipa unyumba miezi mitatu sasa kumbe sababu ni wewe?

Leo ny** zote ntazimalizia kwako, daah jamaa alivuliwa nguo zote, na zile njemba ilikuwa bado kuvuliwa ch***, wafanyakazi wa ile guest kwa kushirikiana na majirani wakamuokoa.

Mmmh jamani wake za watu sumu!

Kabla hujasumbuka kuandika maneno marefu inabidi ufahamu maana ya "LOVE". Kumfumania, kutoa adhabu na kukimbizana na mtu itakupa Love? Mambo mengine bwana. Mapenzi sio ya kukimbizana yagharamikie na sio lazima
 
Back
Top Bottom