Anuani ya rais: Nahitaji nimtumie rais barua

Anuani ya rais: Nahitaji nimtumie rais barua

Siku ukisikia ana ziara huko kwenu fanya tendo la kishujaa kama yule *mama mjane* paza sauti yako huku ukiwa unapunga hiyo barua hewani hakikisha umeweka ktk bahasha nyeupe itakayo onekana kwa urahisi. NAAMINI RAISI ATAAMURU IFUNGULIWE PAPO HAPO NA UTAKUWA UMEFIKISHA UJUMBE WAKO.
 
umwambie mkuu aache kulaumu na kupiga vijembe kila siku akipata muda wa kuongea,atupe mikakati ya kueleweka ya kufikia uchumi wa viwanda hakujifunza hata kwa mkapa presidential speech zinatakiwa ziweje
 
itupie kapa JF. Kesho akiwa natoa Hutba mahali ataifanyia riferensi...
 
kama unatoka mbagala panda magari ya kivukoni,kuna kituo kinaitwa kolomije hapo dondosha tu
 
Ijumaa saa Tatu usiku, clouds TV..... Wape shilawadu lazma ataipata
 
Nataka barua aisome mwenyewe, nifanyeje. Njia ya kawaida haitamfikia, wataizima, nitumie mbinu gani anisaidie! kupitia barua hiyo
Subiri siku ya sheria duniani mwakani ujilipue kama yule mjane wa Tanga!
 
Back
Top Bottom