Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Huyu ni tapeli kama matapeli wengine. Kwa Lusekelo watu wanaenda Showroom ya magari. Hiyo ni dini ya magari. Naulizia, ili nipate Benz nimtuze Lusekelo sh ngapi?

Hata dini yako huijui subiri uende guest au bar
 
Lusekelo ni mtoto wa mjini parcee ni mpigaji kama wapigaji wengine tuu ni tapeli kama matapeli wengine tu kinachotofautiana ni mbinu NASIMAMIA MANENO YANGU
 
watu wengi wakikosolewa wanajikinga na msemo wa 'usihukumu' hapa hahukumiwi mtu bali tunakosoa mfumo wa uendeshaji wa ibado.kukosoa sio kuhukumu
Hata nchi ina katiba na kanuni za kufata katika kukosoa, kuonya, kuhukumu, nk. hakuna jambo linaloweza kupelekwa kwa akili na matamanio ya mtu kwani aweza kuwa amerukwa na akili tu; tujuze basi vigezo unavyotumia katika kumuonya na kumkosoa ndugu
 
Mchungaji huwa anatunzwa kama ameongea point. Kama wewe unavyomtunza DIAMOND sasa pale mimi naona halazimishwi mtu kutunza.Soma biblia
Huyu tulikuwa tunakunywa naye mbege msichoke kilabu Makorongoni Iringa.
 
Hata nchi ina katiba na kanuni za kufata katika kukosoa, kuonya, kuhukumu, nk. hakuna jambo linaloweza kupelekwa kwa akili na matamanio ya mtu kwani aweza kuwa amerukwa na akili tu; tujuze basi vigezo unavyotumia katika kumuonya na kumkosoa ndugu

cha msingi ni kutokumdhalilisha mhusika ama kuleta uchochezi wa aina yoyote .lengo langu hata hivy ilikuwa nikupinga matumizi ya neno kuhukumu na kukosoa sasa kuhusu vigezo vipi ni vya kuhukum na vipi ni vya kukosoa ni kitu kingine
 
Lusekelo ni mtoto wa mjini parcee ni mpigaji kama wapigaji wengine tuu ni tapeli kama matapeli wengine tu kinachotofautiana ni mbinu NASIMAMIA MANENO YANGU

lakini hata kama ni utapeli, ana thawabu zake.
 
Wanawake ndio wanaongoza kuwa watunzaji wazuri sijui kwanini? Hivi kule kwenda kusali kiwango cha chini uwe na shilingi ngapi? Inaonekana ukiwa huna kabisa hela huwezi kufurahiwa
 
wajonga ndio waliwao na wajinga hawesh mpaka dunia itamaliza asipo kula pale akale wapi.? hata mm sasa nataka kuanzisha kanisa langu najua nitawapata wengi. mjini hapa
 
mpaka papai lililonunuliwa sokoni eti ni la mungu ulinunue duuu hii ni shiiiidaaaaaa
 
lakini hata kama ni utapeli, ana thawabu zake.

No never mtu yeyote anayelitumia jina la Mwenyezi Mungu kwa manufaa binafsi hana kheri yoyote mbele za macho ya Mungu na hizo thawabu zake hesabu yake ni Siku ya kiama
 
Watu Wana shida nyingi, wanawake wengi siku hizi wana tatizo la uzazi, watu wengi wanahitaji kuwa matajiri, well at least kumiliki magari, maradhi yamekuwa mengi sana...!

Kama unataka kuwa mchungaji wa "kitaa" watakiwa kukenga mambo mawili, UTAJIRI na KUPONYA MARADHI..ndo maana hawa jamaa wa kitaa i.e Lusekelo and Co. wanapata wateja sana.
 
nipe uthibitisho wa kimaandiko unaohalalisha hili zoezi la kutunza wahubiri mimbarani.

Ni nini basi maana ya neno hili ya kwamba mtakalofungua duniani na mbinguni limefunguliwa na mtakalofunga duniani na mbinguni limefungwa?
 
Hili la antony n mfano tu kunawachungaji wameutumia mfumo wa watanzania wakutokujua kujinufaisha wao!!

Ukiangalia anachofanya huyu jamaa n kutumia matatzo ya watu nakuwapa matumain kwa kisingizio cha uponyaji na utajiri,

Isitoshe kwa sasa pia kuna wagaga wengi wa tiba tena wengi wao wakenya utakuta wameweka madawa na wanauza kwa vipaza saut chin sehem ya mkusanyiko ya watu kama stand na sokon!

Hii yote n matokeo ya watu kutokujua uhalisia wa mambo, ndo maana mchungaj Lusekelo n 1 tu kama mfano bt walio na walakin wako wengi maana wanatumia uelewa wa watz wengi..
 
Back
Top Bottom