Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

Sasa wewe sijui unaitwa Diallo (jina feki kwa msukuma) unadhani ukiuminya upinzani utaweza kuwa wa maana kweli? Halafu acha kuwatukana watanzania ambao wananyimwa fursa za kutekeleza potentials zao. Unadhani kwa kuwa wewe uliweza kukwiba basi wale maprofesa wa Changanyikeni wanapeda kufuga kuku na ng'ombe? Unajua wanacholipwa kulinganisha na wenzao duniani kote?
 
"Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:
Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!
Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI;
Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!
"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!
Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU;
Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia.Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua.Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE;
Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power na Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom.

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULNCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!
Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.
Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZIaliyeko kwenye banda la mpika supu!"
Chairman, mbona hujaongelea kabisa uhusiano wa Makonda na the late Mabina(former CCM chairman) aliyeuwawa kikatili na waliosemekana wananchi wenye hasira kali?Anyway labda hujasoma article yote ingawa umekiri mwenyewe uliisoma kwa utulivu mkubwa.Binafsi sikuwahi kufahamu kama Mabina ni baba mdogo wa Paul!
 
Ni mpuuzi tu anayeweza kumtetea bashite.

Huyu anataka tax relief hana lolote. Alipe mishahara wafanyakazi wake aache ujinga
Huyu mwenyewe tako tu kwani haya yeye si mwanasiasa huyu au anatuzuga tu,nani hajui kuwa yeye ni ccm. Hata mkisema nini tambueni hakuna ufalme wa milele,ccm ipo cku watatoka tu kama dora ya Roma ilianguka pamoja na kutawala miaka zaidi ya 1250 itakua hiyo takataka. Huyu Dialo analeta bangi tu hapa hakuna cha maana alichoandika upuuzi tu
 
hivi huyu jamaa naye wanasema ana phd? kwa uchambuzi huu? hahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Diallo ameonyesha alivyo mweupe kichwani! Hivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu akatengeneza ZERO ili aweze kuwatambua anu kuwakamata wauzaji wa madawa ya kulevya?!
 
Dalili za kufilisika Ndo hizi
Unaanza kuandika/kufikiria vitu vya ajabu ajabu tu Kama hivi Diallo anavyofanya sasa.
Kama Leo umekaa na kufuatilia jambo Mda mrefu bila mihemko na kuja kuandika vitu vya ajabu hivi, Itakuwaje siku inatakiwa utoe maamuzi sahihi kwa Mda mfupi..!?
 
hivi ana tax clearance huyu
sio tax clearance tu, akumbuke alipokuwa waziri maliasili alipiga ndani ya mwaka mmoja tu, jk pamoja na upole wake akaona speed imezidi akamtumbua mara moja. ni aibu. alipokuja huyu msukuma mwenzake akaanza kumsapoti kwa ukabila kutumia tv na radio zake...amekuja tena kwa bashite...hata mke wa bashite anamjua kwa jina hilo, gwajima alisema anaitwa "Daudi albert bashite"....yeye analeta jina lingine...na hapohapo anasema ana phd....ndo maana hata sura zenu hazifanani na phd....xdvsxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx87980xcvfyxuuuuuuu
 
If you can't beat them Join them
Aliahidiwa kuishi kwa NEEMA muda wote wa uongozi wa ndugu yake. Alisema atambeba, sasa unategemea aliyeahidiwa kubebwa aseme tofauti na mbebaji? Si kesho mtamcheka kwamba kachana mbeleko, au mmesahau?
 
Heeh,,!! Hii post si aliitoa kalamanzila,,aisee we una haki ya kumtetea,kumbe hadi huku jf watu wanaiba na kutumia post za watu na kujifanya za kwao
 
Hahaha, then they must be the most stupid plan anyone can come up with..my 5 yr old can do better.

Drug rings are underground, they dont like attention to themselves...yaani watamfata aje mtu wa kiki? (use your head)
They like to not be seen or heard, it makes it harder for them to be caught...watahusishaje mtu ambaye his every move ipo wazi?
Thats why undercover agents are always unknown and anonymous..wacha akili ndogo ndogo kama za karanga
Wewe ndo mwenye akili za kipumbavu, hujielewi.

Sincerely,
Msomi anayejitambua.
 
maMvi ni Fisadi na hukumu ya watanzania imo kwenye Sanduku la kura.
 
Ndio wanakufa midomo wazi hawa ngoja time ni hakimu makini kweli kweli
 
CCM haina rafiki unaandika ma-thread marefu kama kanzu ili wakuendorse you will end up praising CCM na kodi utalipa tu
 
Naamini wewe ni sampuli ya waliohudhuria shule na kuambulia patupu kama wengine wanaomkumbatia mtu kama Makonda aliyepata sifuri.

Kubwa unakiri chama chako na serikali haina na haijawahi kuwa na ajenda ya maendeleo wala mafanikio labda imefanikiwa kuua elimu.

Wapinzani wa kuchonga kwa ajili ya chama chako hawapo kweli. Waliopo wamejipanga na hamtawapa nafasi ya kuchangia hata mawazo.

Hivi Sahara Media ya msomi wewe ina cha kujivunia?

1. Inalipa kpdi za serikali?

2. Mara ya mwisho wafanyakazi wake walilipwa lini mishahara?

Nakuhurumien nyie akina Diallo na genge lenu la JPM kumkumbatia Makonda wa zero huku eti nyinyi ni wasomi. Hapo hapo mnaota maendeleo.

JIPIMENI
 
Huyu MZEE alichoandika sio jambo jema

kabla ya kuendelea anatakiwa atueleze gazeti LA msanii afrika alilipereka wapi kama yeye huwa hakurupuki?
 
kuna baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari fulani, wanaamini kutomzungumzia sizonje ni kulinda utawala wa watu wa kanda ile. wapo wazi kabisa wanashukuru Mungu kuwa mtu wa kanda yao amekuwa kiongozi, na hawaelewi kuwa anawaaibisha, next time mtu wa pande hiyo hataaminiwa tena kwasababu huyo amewakilisha na kutoa picha ya watu wa huko wakoje. (pamoja na kwamba ni yeye tu, nimeishi huko kuna watu wazuri tu lakini jamaa kaharibu kabisa image ya watu wa huko).
Tena tuliaminishwa kuwa Tanzania inakuwa vizuri sana ikitawaliwa na Mkristo kuliko Muislam ila dhana hii sasa inatoweka kwenye fikra zetu
 
Back
Top Bottom