Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

CCM WENYEWE WAMEMUWEKA PEMBENI MZEE KAZEEKA VIBAYA ETI NIKIWA Kijijini kwangu Mwanduhitinje mzee sisi siyo wajuku wako ujipange !!!
 
Huyu mmiliki wa starTV anajaribu kuwaondoa watanzania katika truck. Angemshauri Bashite awasilishe vyeti vyake vya kitaaluma katika mamlaka yake ya ajira angeeleweka.
 
Yeye mwenyewe PHd yake miaka ile watu walihoji sana!!!!!!
 
Mmmmh!! Huu uzi uliwahi kuwekwa hpa hata clouds media hawajavamiwa,sasa imekuaje dialo akopi kila kitu??
 
Watu ambao huwatukana wenzao kuwa hawajui kitu ni watu ambao hawajastaarabika. Kulingana na mafunzo ya dhati kabisa tuliyokuwa tunapewa na Wakoloni wakituandaa kujitawala tulipopata uhuru. Walieleza kuwa mtu ambaye hajastaarabika ana sifa sifuatazo:
1. Incompetent: Hana uwezo wa kuanzisha jambo au akipewa kazi kuweza kuikamilisha inavyopaswa.
2. Inconsistent: Mtu anayebadilisha msimamo wake bila kueleza sababu za dhati zinazomfanya abadilishe msimamo wake wa awali.
3. Insensitive: Huyu ni mtu anayewanyia wenzio mambo bila kuwaza kwa dhati kama angefanyiwa yeye angekuwa radhi kukubali matokeo yake.
Kama umesoma sana au hukuingia darasani kabisa ukiweza kutokuwa na sifa hizo na kutekeleza kinyume chake wewe unaweza kuwa kiongozi wa umma anayefaa.
Utashangaa kuona jinsi Waafrika tuliowengi huo mtihani wa mambo matatu unavyotushinda! Tunasoma lakini hatuelewi.
Basi nyie wenzetu ambao mnadhani mmeshika usukani wa kuendesha nchi yetu jipimeni. Acheni maneno mengi.
 
sio tax clearance tu, akumbuke alipokuwa waziri maliasili alipiga ndani ya mwaka mmoja tu, jk pamoja na upole wake akaona speed imezidi akamtumbua mara moja. ni aibu. alipokuja huyu msukuma mwenzake akaanza kumsapoti kwa ukabila kutumia tv na radio zake...amekuja tena kwa bashite...hata mke wa bashite anamjua kwa jina hilo, gwajima alisema anaitwa "Daudi albert bashite"....yeye analeta jina lingine...na hapohapo anasema ana phd....ndo maana hata sura zenu hazifanani na phd....xdvsxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx87980xcvfyxuuuuuuu
mambo ya phd. kanda ya ziwa ni ya watu wa Bukoba tu. hao wengine wanabahatisha tu. kazi yao ni kuchunga ng'om
be tu.

mfano huyu sijui dialo ameandika upuuzi eti naye ni PHD holder
 
Antony Diallo anajidanganya sana, watanzania wa leo si wa jana au wa nyakati zake!! We are very conscious and understanding and inquistive generation hatutishwi na kitu chochote hasa pale tunapogundua ukweli tutausimamia na kuufia na wala hatuitaji vyombo vya CCM-Dolla vitufanyie uchunguzi au kutwambia huu ndio ukweli!! Sisi si watanzania wa upepo na very soon he will realize this!!! Antony Diallo ni mchumia tumbo and opportunistic ni mtu mbaya sana ktk jamii, anajali tumbo lake tu ndo ndo sababu watangazaji makini wamekimbia Star TV!! Na kama anadhani kuna CCM anayoijua anajidanganya, na waliobaki ni manyumbu watu wa Ndiyo mzee!!
 
Kama mke wake naniii anajua mumewe anaitwa Daud Bashite lakini kuna mtu mwingine anasema anamjua zaidi ya mkewe, BASI huyo naye ni nanii wa Bashite.
 
Hivi kuanzia tarehe ngapi Anthony Diallo amekuwa na busara, achilia mbali akili ya kutambua anachojaribu 'eti kuchambua kisomi' hebu jaribu kurejea kumbukumbu ya utawala wako kama waziri wa Utalii. Sitarajii kuona ukikemea huu ujinga na upumbavu unaoendelea
Anachana na hii misukuma inatuzengua tu
 
Unakaa mtu mzima halafu unaishia kuandika upumbavu wa namna hii!
 
Ni Diallo ni mpumbafu sana na hajitambui. Wameshazoea kuongoza kwa kuiba kura hawa washenz na wadhalimu. Siangalii tena lichaneli lake huyu makamasi
 
Huyo c walimuahidi kumsapoti kwenye media yake kipindi kile cha kampeni kutokana na kumpigia debe jamaa yule,.. Sitashangaa leo akiweweseka na upuuzi huu. Hivi hajajitathmini kwann media yake imepoteza watazamaji na wasikilizaji Wengi nchini....
 
Sometime kukaa kimya nako ni busara pia,kuliko hilo povu ulilotoa bora ungekaa tu kimya huko kijijini kwakwo na kuendelea kulisha mifugo yako
 
Wapi duniani usalama wa taifa wanafanya kazi hivyo?? huyu mtu ambaye hata akiwa anaongea tu unajua anakiburi na kichwani hamna kitu....hizo no story za vijiwe vya kahawa,,, kwahiyo ni ruksa kwa usalama wa taifa kuzua taharuki kwenye jamii?? kwa hiyo akiwa kama usalama wa taifa anabahatishaje kazi kwa kwenda clouds usiku huku akijua hana uhakika kama kuna unga au hakuna???

Mkuu umesoma vizuri alicho andika Mzalendo Diallo au unajizungumzia tu, kumbuka Diallo aliwahi kuwa katika Baraza la Mawaziri miaka ya nyuma, watu kama wewe na wengine hilo awalikumbuki akili zune zote zipo kueleza ubaya wa Makonda na stori nyingi mnazo zisema humu kumuhusu Makonda niza kutunga tu, watu wanalipwa kushinda kwenye Social Networks 24X7 wakiwa na lengo la kumubomoa Makonda - you don't give a damn kuhusu hatari inayo nyemelea Taifa letu kutokana na athali ya madawa ya kulevya kwa group/kundi la nguvu kazi, Taifa zima linapashwa kumuunga mkono Mzalendo Makonda na JPJM - nyie mmekalia masuala ya partisians na kumpiga vita Jemedari wa vita dhidi ya madawa ya kulevya, akili gani hizi?

Kwa wasomaji wenye analytical minds zinayo chemka ndugu Diallo ameanika kila kitu adhalani kwa kutumia lugha ya kidiplomasia, nyinyi wala hilo amulioni mnaendelea kushiriki kwenye ngoma ambayo hamujui mpigaji kalipwa na nani, badala ya kutafakari kwa kina alicho andika Mzalendo Diallo mnambeza beza tu - kwa bahati mbaya Watanzania wengi tuko hivyo atuoni beyond our noses!! Hapa imedhilika kwamba kumbe baadhi ya Wakubwa, wafanya biashara na owners wa Media ni part and parcel ya Ma mafia wa madawa ya kulevya Nchini, these crooks were literary running our beloved Country through back door once upon a time!!! Jamaa hawa wana roho ngumu kuliko ya paka, hawakati tamaa bado wanaendelea kupanga mbinu za ku undermine current Administration ili Nchi isitawalike, watu responsible ndani ya jamii wanafikia hatua ya kujaribu ku-incite wananchi kwa kauli za kuhasa Raia waingie barabarabi na mawe, mara waseme Watanzania ni wavumilivu sana, mara Tanzania inaendeshwa kidikteita, masaa yote lawama tuuu - hawazungumzii lolote kuhusu uwekezaji na maendeleo yaliyo patikana ndani mwaka mmoja wa Uongozi wa JPJM.
 
"Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:

Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!

Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI:

Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!

"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!

Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU:

Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia. Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua. Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE:

Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power na Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom.

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULNCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!
Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.

Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZIaliyeko kwenye banda la mpika supu!"

Uzi umenikumbusha "Eli Cohen" na habari yake Katika kitabu "Our Man in Damascus." Habari hii iliwahi kutolewa humu pia. Cohen alikuwa Myahudi aliyezipenya ngome za uongozi za Syria kama mpelelezi bila wao kumfahamu. Walimjua kama mfanyabiashara wa kiarabu tu. Japo hatimaye alikamatwa na kunyongwa, kwa wakati muafaka Cohen alilisaidia jeshi la Israeli Katika vita vya Siku Sita dhidi ya Misri, Jordan na Syria, June 1967.
 
Ni mpuuzi tu anayeweza kumtetea bashite.

Huyu anataka tax relief hana lolote. Alipe mishahara wafanyakazi wake aache ujinga
hawa wasukuma wameamua kuunda moja usio mtakatifu ili kulindana
 
Dialo hayo uliyoandika wala si yako ume edit tu na kutupia humo, sababu kubwa unataka tra wasikufutilie kwenye kodi.

Kama kweli wewe ni msomi niambie TV gan inakatkati hovyo hewani zaid ya star TV! King'amuzi gani hakiuziki sokoni zaid ya continental?

Tatizo la wasukumu ni ulimbukeni, acha ulimbukeni mwambie huyo zero mwenzio aweke vyeti mezan
 
Mkuu umesoma vizuri alicho andika Mzalendo Diallo au unajizungumzia tu, kumbuka Diallo aliwahi kuwa katika Baraza la Mawaziri miaka ya nyuma, watu kama wewe na wengine hilo awalikumbuki akili zune zote zipo kueleza ubaya wa Makonda na stori nyingi mnazo zisema humu kumuhusu Makonda niza kutunga tu, watu wanalipwa kushinda kwenye Social Networks 24X7 wakiwa na lengo la kumubomoa Makonda - you don't give a damn kuhusu hatari inayo nyemelea Taifa letu kutokana na athali ya madawa ya kulevya kwa group/kundi la nguvu kazi, Taifa zima linapashwa kumuunga mkono Mzalendo Makonda na JPJM - nyie mmekalia masuala ya partisians na kumpiga vita Jemedari wa vita dhidi ya madawa ya kulevya, akili gani hizi?

Kwa wasomaji wenye analytical minds zinayo chemka ndugu Diallo ameanika kila kitu adhalani kwa kutumia lugha ya kidiplomasia, nyinyi wala hilo amulioni mnaendelea kushiriki kwenye ngoma ambayo hamujui mpigaji kalipwa na nani, badala ya kutafakari kwa kina alicho andika Mzalendo Diallo mnambeza beza tu - kwa bahati mbaya Watanzania wengi tuko hivyo atuoni beyond our noses!! Hapa imedhilika kwamba kumbe baadhi ya Wakubwa, wafanya biashara na owners wa Media ni part and parcel ya Ma mafia wa madawa ya kulevya Nchini, these crooks were literary running our beloved Country through back door once upon a time!!! Jamaa hawa wana roho ngumu kuliko ya paka, hawakati tamaa bado wanaendelea kupanga mbinu za ku undermine current Administration ili Nchi isitawalike, watu responsible ndani ya jamii wanafikia hatua ya kujaribu ku-incite wananchi kwa kauli za kuhasa Raia waingie barabarabi na mawe, mara waseme Watanzania ni wavumilivu sana, mara Tanzania inaendeshwa kidikteita, masaa yote lawama tuuu - hawazungumzii lolote kuhusu uwekezaji na maendeleo yaliyo patikana ndani mwaka mmoja wa Uongozi wa JPJM.

Me nafikiri wewe hujanielewa, labda nikuulize maswali rahisi saana, kudeal na madawa lazima ukavamie clouds usiku na bunduki ukiwa na askari? Kudeal na madawa lazima ujimilikishe mali as watuhumiwa wa madawa?? Kudeal na madawa lazima utumie majina ya kufoji ukiwa mtumishi wa umma??, bila Makonda hatuwezi kupambana na madawa??, unataka kuniambia yanayoendelea ndani ya serikali na CCM Diallo anayajua kuliko Nape?? Nitajie drugs kingpin yeyote unayemjua aliyekamatwa na Makonda au kipindi cha Makonda,,,...

Pia uniambie hayo yooote aliyoyafanya Makonda anasingiziwa??
 
Back
Top Bottom