Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

MTOA MADA NAONA AKILI YAKO IMEGANDA" Hivi mtu mwenye nia ya kukamata madawa, ANAWEZA KUWATAJA WATU HADHARANI, AWAAMBIE WAKAE KWAO SIKU TANO AU NNE" NDIO WAJILETE WENYEWE POLICE????? NA BADO WATAKUWA WAMEKUTUNZIA USHAHIDI???? Mimi namhisi kua yeye alikua na lengo la kuwaambia wauza madawa wayafiche, ili asiwakamate. KWA MFUMO MAKONDA ALIOUTUMIA, INAONYESHA KUA NA YEYE ANASAPOTI MADAWA YA KULEVYA. Ndio maaana aliwapa siku tano zakuficha,, ndipo aende kuwapekua.
 
Mkulu - kandalinda kabukya ndakelelelwa kuwa-expose ambao wamepania kulashana na JPJM no butwazibwe kwa njia za kichini chini, wengi wao wapo Chamani mwake na ndani ya Administration yake - hawataki afanikiwe - what a shame?

NAPE kama NAPE nayesigaki? Nowa aikumuzimbisa Omutwe? Kama NAPE shida yake ilikuwa kumshukuru/kumuaga Dk.Magufuli angemfuta Ikulu akamuaga in camera na siyo kuitisha media na Publicity stunts za kitoto kwa kudai yeye ndiye amekinusuru Chama la sivyo kingekwenda na maji, kuna ukweli gani katika hilo, je, ana takwimu gani za kuonyesha kwamba CCM wangeshindwa chaguzi? Nani ambaye ajui kwamba Dk.Magufuli alizunguka nchi nzima akijipigia kampeini mwenyewe na kila alipo kuwa anapita anapokewa kama shujaa hata kabla wananchi hajampigia kura, alikuwa anajiuza kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka nani ambaye ajui uchapaka kazi wake, alafu watu wanakuja hapa kuzuga watu as if Watanzania hawana akili za kumchangua Rais wampendae mpaka apigiwe kampein na watu baki.

Tuwe wakweli hapa - tangu mwanzo operation za Makonda dhidi ya madawa ya kulevya NAPE alikuwa ana act kama members wa opposition party, he didn't have an iota what collective leadership means! looks like it sounded Greek to him I guess au alikuwa anayafanya delibaretely ku-undermine efforts za Makonda na JPJM - Mkulu husichukulie tukio zima kijuu juu, binafsi nilimshitukia kwa mara ya kwanza alivyo kuwa anamtetea sijui binti gani nimemsahau kidogo - one could sense NAPE and RC Makonda were totally immicible like water and Kerosene and for whose benefit one may ask? Kama waliwahi kukwaruzana kwa mambo yao binafsi siku/miaka ya nyuma, kulikuwa na sababu gani za msingi kujaribu ku carry 4ward tofauti zao katika masuala nyeti yanayo gusa Taifa letu specifically Madawa ya kulevya, malumbano yaliyo kuwepo mtu ungefikiri Makonda na NAPE ni waajiliwa wa Serikali mbili tofauti!!
Wabigamba wabimalayo isi ngambeki? Umeeleweka sana
 
tatizo hizo phd na degree za mwanza na maeneo mengine zimeshashushwa hadhi na bashite. kila anayetoka huko ukiona anasema amesoma una question elimu yake. jamaa kawachafulia sasna wenzie.
 
Kwani anayestahili kuuliza vyeti ni nani?

Unaelewa kwamba wananchi ni waajiri wa watumishi wa umma? Unaelewa kwamba mishahara ya watumishi wa umma inatokakwenye kodi ya wananchi?

Ushawahi kusikia mtu anamuuliza Said Bakhressa vyeti?
Hebu nitajie vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mtu ili achaguliwe kuwa mkuu wa mkoa?

Kuna sehemu wananchi wanamchagua mkoa?

Swala la mwajiri nitofauti hapa. Acheni mihemuko Team ngada
 
Kumtetea Bashite lazima uwe zwazwa
1d9ca4f1cbab24b1fc1dec2b9262c0ac.jpg
 
Hebu nitajie vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mtu ili achaguliwe kuwa mkuu wa mkoa?

Kuna sehemu wananchi wanamchagua mkoa?

Swala la mwajiri nitofauti hapa. Acheni mihemuko Team ngada
Unaweza kuthibitisha mimi ni Team ngada?

Ukishindwa hilo umethibitisha kwamba unaropoka. Habari zako nyingine zote zinakosa maana.
 
mambo ya phd. kanda ya ziwa ni ya watu wa Bukoba tu. hao wengine wanabahatisha tu. kazi yao ni kuchunga ng'om
be tu.

mfano huyu sijui dialo ameandika upuuzi eti naye ni PHD holder
Huyu Anthony Diallo kama ameandika hii lazima amtetee Makonda maana na yeye ni mzee wa kungaunga. Katika CV yake ya mwaka 1995 wakati anagombea ubunge Ilemela aliandika ana degree, lakini cha ajabu mwaka 1997 alikua mwanafunzi wa Open University tawi la mwanza. ashukuru Mungu mpinzani wake katika uchaguzi mkuu alikua Engineer wa Kampuni yake Sahara Marketing kupitia chama cha NCCR. gari alilokua analitumia na gharama nyingine alipewa na Diallo ndiyo maana alipona kuaibishwa kama Kihiyo. Ni tapeli tu Diallo hata hilo jina sidhani kama la kitanzania.
 
Kwamba ziro ya Daudi Bashite imetengenezwa? Daudi ameandaliwa tangu akiwa Kolomije? Ash Dialo
 
Nimepoteza muda bure kuhudumia biashara yangu kwa kupitia uzi wa Dialo nasikitika kusema wazi kwamba kumbe
Dialo nae akili ndogo sana kichwani japo amebahatika kuwa na pesa. Na ukijumuisha na wasukuma wengine wachache wanaoloharibu taifa hili hii inazidi kufanya kulitilia shaka kabila hili kwa akili zao
 
"Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:

Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!

Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI:

Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!

"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!

Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU:

Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia. Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua. Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE:

Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power na Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom.

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULNCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!
Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.

Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZIaliyeko kwenye banda la mpika supu!"

Mewnye CV ya Diallo atusaidie jamani nahisi kama ni member wa BASHITE Academic Club.
 
Anamaanisha makonda ni usalama wa taifa au??????
 
Baada ya kutumika sana katika kampeni za kumpandisha sizonje nakuambulia patupu kaamua kuja kivingine labda atafikiliwa..!!!!!!!
 
Huyu Diallo si ndio yule katika kampeni 2010 aliwauliza wapiga kura wa Eneo hili mnataka barabara nyinyi mna magari? Hapo wananchi wakasubiri uchaguzi wakampiga chini.Tena kwa hasira wakampa mbunge wa chadema ambae ni sawa ubunge ulimwangukia Kwani alipewa kura nyingi na wananchi ambao sura yake ndio kwanza waliiona kwenye form ya kupigia kura.
 
Back
Top Bottom