Anthony Lusekelo: Lowassa mtu safi

Mwisho wa Lusekelo unakaribia. Kama Kakobe vile.
Unalijua unaloongea? Rudia utafiti wako kuhusu hilo! Kakobe mwacheni, mmemshindwa na mtaendelea kumshindwa kabla Mungu hajamtwaa hapa Duniani!
 
Anajua wanyama watamuelewa na kusahau uchafu wake
 
UPUMBAVU inaelekea ndicho kipaji ulichonacho! BAVICHA wanaingiaje hapa? Kila anaepingana na mawazo yako ni BAVICHA? HATA HIVYO ASANTE KWA KURNDELEA KUWAOGOPA BAVICHA!
 
***
UENDA WEWE UKAWA NA UOVU MBAYA KULIKO HUYU MNYWAJI WA DIVAI.
n.b:- kama kuilaani pombe kwanza tuwachukie mapadre wa kiroma maana kwao pombe ni kitu cha kawaida na sio najisi,alimradi kisizidishwe.
Uliwahi kuona mapadre wakishakunywa pombe zao wanafunga njia wangine wasipite au wanawatishia wenzao wakiwakuta popote watawaua?usilinganishe mafundisho ya mungu na mafundisho ya waganga wa kienyeji waliostarabika,kuna tofauti gani kati ya Dr.Mwaka na mzee wa upako?ukiendelea kutusumbua tutatoa siri za mtu wako alipatia wapi uchungaji wake
 
Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
"Mitungiii, mikasiii, Ooo yeah, kama ukitaka kuvinjari nafsi, basi nawe roho yako iwe safiii"
"Washkajiee, kulewa tushalewa sasa tutapata wapi midudu ya kupiga mikasi,!
Milupooo labda mitaa ya kati tuelezani washkaji, kwa we una sh ngapi? Buku NNE tu, Venture, bati, sasa we una bati utang'oa vipi milupo?!

R.I.P Ngwea!
 
Lusekelo mjanja mjanja tu. Baada ya skendo yake na jirani yake kusambaa nchi nzima. Anahaha kuizima kwa kuleta hoja mpya ili atusahulishe ile skendo zake. Maana ilisemekana kuwa alikuwa "njwi" na kumtolea maneno ya vitisho jorani yk.
 
***
niinbox nami nikapate upako huo./
Nilichosema ni kwamba/ kunywa ruksa lakini kusitufanye tuende kinyume na ustaarabu...
 
Hapo amesema kweli, ila Mimi sina imani nae tena.

Jamani Ukawa wenzangu tusipende kuwasapoti walevi, huenda Leo yupo upande wetu sababu amepiga Tusker, kesho akipiga Bapa anaweza kurudi upande wa pili.

Mnisamehe jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…